Tunaomba vyeti huko chdemaMjinga ni mzigo wa kuni mbichi...
Tumalizane kwanza na Makonda then tutahamia Chadema. Usiwe na haraka kama cha kwanza....saiz ni mashkaji amwage vyeti then chademaTunaomba vyeti huko chdema
Kwani huko kuna mwenye chetiNa mweny akili timamu utoa cheti kumjibu mpumbavu
Malaya wa kisiasa, lakini unaweza kuwa changu kiuhalisia, mwanamke gani usiye na msimamo.unamaanisha CHADEMA badala ya kumuangusha...yeye ndio ataiangusha
Sasa kwa kuwa wewe si fa fa fa fa hebu tujuze alikua ana maana gani na hiyo nadharia yako ya hemenitikMlisema ni fa fa fa fa yaani zero, sasa iweje mshindwe kupata maana halisi ya hiyo clip? Hapa tutajua yupi fa fa fa na yupi fu fu fu. Kuna nadharia moja inaitwa hemenitik inamsaidia mtu kupata maana ya clip na matini mbalimbali
Kumbe ukiona mtu analilia siasa hataki ajira rasmi unadhani anapenda kumbe ni Zero inamtesaMkuu cheti unaambiwa hana atakipata wapi?labda akasome MMEMKWA
Umeonaeeee?Kumbe ukiona mtu analilia siasa hataki ajira rasmi unadhani anapenda kumbe ni Zero inamtesa
Kweli ndio tunaona jinsi mnavyoshindwa huko DodomaMaana yake wauza madawa ya kulevya watashindwa na kulegea
haaa haa we jamaa Mungu anakuona ujueLabda anatuonyesha kuwa amezaa mtoto na Mwanamke wa kizungu