Mwalimu akamatwa na viroba vya shilingi milioni 77

Mwalimu akamatwa na viroba vya shilingi milioni 77

Kuna siku serikali hili itakuja ijutie sana haya maamuzi ya ovyo ovyo wanayoyachukua.yanagharimu maisha ya watanzania wenzetu bado tunaona ni mambo ya kawaida TFDA, TBS,FTC wote mlihusika kuidhinisha stock hili kuingia sokoni na sasa wameungana na wanasiasa kuwa saliti wafanya biashara naamini wale wanaopoteza maisha kwa uzembe wenu roho zao zinawalilia na hamtaweza kuikwepa laana ya wapendwa wao.
 
Sidhani kama katika hili serikali inatendea haki hao wauzaji.

Kwanini serikali isingeanza kwanza kuzuia kiwanda kuzalisha viroba.

Then wawape muda hao wauzaji wamalize bidhaa walizonazo.

Kwa sababu asilimia kubwa ya wafanyabiashara wana mikopo hivyo unapowapa muda mfupi wa kuondoa bidhaa katika soko, wanatarijia marejesho wanatoa wapi (sijashangaa yule wa dodoma alivyoamua kujiua).

Serikali inafanya kitu kizuri lakini iangalie hatua wanazochukua na madhara yake issue ya viroba ni issue ambayo ilikuwa biashara halali hivyo ili kuiondoa inahitaji muda mrefu ili kuepusha kuacha madhara makubwa kwa wafanyabiashara
Kama kuna mtu bado anaichekea hii serikali umeingizwa hasara ya 77 millions
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Kama kuna mtu bado anaichekea hii serikali umeingizwa hasara ya 77 millions
Bora hiyo 77millions yule baba wa dodoma aliyejiua ilikuwa ni stock ya 1billion.

Wanaochekelea hawawafikirii hawa wafanyabiashara, hawafikirii mitaji wameitoa wapi, hawafikirii kuwa hii biashara iliidhinishwa na serikali kuwa na biashara halali na watu walikuwa wanalipia kodi.

Inaumiza sana aisee. Sasa stock ya 1Billion huo mkopo unaurudishaje kwa mfano?
 
Kuna siku serikali hili itakuja ijutie sana haya maamuzi ya ovyo ovyo wanayoyachukua.yanagharimu maisha ya watanzania wenzetu bado tunaona ni mambo ya kawaida TFDA, TBS,FTC wore mlihusika kuidhinisha stock hili kuingia sokoni na sasa wameungana na wanasiasa kuwa saliti wafanya biashara naamini wale wanaopoteza maisha kwa uzembe wenu roho zao zinawalilia na hamtaweza kuikwepa laana ya wapendwa wao.
Nikweli kabisa leo mtu anajilipua risasi kisa stock yake kukamatwa anapiga hesabu kwambia billions 50 zimeteketezwa tena nilikopa bank how can I refund it.

Msifurahie kusilisiwa kwa wafanyabiashara tu asasi za kifedha nazo zitayumba kama mtu alivuta mkopo billions kadha mzigo umeteketezwa naye amejiua je, bank mtalipwa na nani?
Kama kuna mtu bado anaichekea hii serikali umeingizwa hasara ya 77 millions
 
Zambia wamezuia na wameweza ila hakuna mfanyabiashara aliyepata hasara au kiwanda kama ilivyotomea tz
 
Nikweli kabisa leo mtu anajilipua risasi kisa stock yake kukamatwa anapiga hesabu kwambia billions 50 zimeteketezwa tena nilikopa bank how can I refund it.

Msifurahie kusilisiwa kwa wafanyabiashara tu asasi za kifedha nazo zitayumba kama mtu alivuta mkopo billions kadha mzigo umeteketezwa naye amejiua je, bank mtalipwa na nani?
Hakika ni nawahakikishia kama 2015 alilia na akapiga pushup ili kushawishi wapigà kura sijui 2020 atafanyaje maana naona kama ànatengenezà maadui wengi kuliko màrafiki.
 
Kama biashara ilikua halali, na mlikua mbakula kodi alafu mkaisitisha ghafla bila hata kutoa muda maalum kwa wenye stock kuuza mzigo uishe, sasa mnatuletea habari za kibashite eti tumekamata mzigo wa milioni 77.
Si mmeenda kwa wale wasambazaji mliowapa vibali vya kuuza na mlijua wana stock bado?
Ushabiki uchwara
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Gongo (pombe haramu) imeshindikana kuzuiliwa hasira zinahamia kwa viroba (pombe halali) yenye kulipiwa kodi ya serikali. Huu ni uonevu na kutiana umasikini kijinga.
 
Nikweli kabisa leo mtu anajilipua risasi kisa stock yake kukamatwa anapiga hesabu kwambia billions 50 zimeteketezwa tena nilikopa bank how can I refund it.

Msifurahie kusilisiwa kwa wafanyabiashara tu asasi za kifedha nazo zitayumba kama mtu alivuta mkopo billions kadha mzigo umeteketezwa naye amejiua je, bank mtalipwa na nani?
Hela ya Benki lazima irudi si aliweka collateral (dhamana) either Nyumba n.k! Tatizo hapa ni mkopaji kupata hasara ya kupiteza nyumba, gari, Shamba au kitu chochote alichoweka dhamana name hivyo kutiana umaskini!
 
Serikali ya viongozi wenye chuki na watu wenye pesa na mitaji, Itatuchukua mda sana kufikia maendeleo ya kweli kwa mwendo huu.Kwa nini serikali isiwabane wenye viwanda kupokea izo stock kwa discounted price alafu wazipack key chupa ziuzwe km Konyagi?
 
Kwa mfano huyu mwl atapelekwa mahakamani kwa sheria ipi
Nakusaidia tu,sheria inaitwa environmental management(prohibition of manufacturing,importation and use of plastic sachets for packaging distilled and other alcoholic beverages) regulation,2017 G.N 76 published on 24/02/2017
 
Back
Top Bottom