Hao samaki wanaosema ni samaki gn hao wawe wanatumia akili sio kuburuzwa tu kama ling'ombe mbona sato kilo 9000 badala ya 7500 ya awali mfumuko wa bei haujashuka bali umepanda
Mm nmejenga nyumba vyumba 3kimoja master sitting room choo cha ndani jiko stoo na korido ktk kuelekea sebureni bati nmetumia milion moja kench laki sita misumari waya pamoja na kepu laki mbili ufundi laki nne
Nchi niyetu sote, hakuna haja yakunyosheana kidore, nakama niufisadi nani asiyefisad,tujege nchi upya kwa kufuta sheria siyo kwa kuagaria yario pita,ferix kayungiro
Wamepoteza hela za bure kabsa kumtoa singida to dar es salam kwa gharama Kubwa alafu mnashindwa hii ni aibu siku nyingine wajifunze na wamwambie anaitjika dar na hao mawakili mtukufu atadili nao mbona michezo yao mtukufu anaijua na nakumbuka alishawaambia wanakula hela huku na huko ili selikari...
Hali ya maisha imekua niya shida sana ukipata leo hujui kesho utaamkaje kuifipi hali ipo hvyo kuna kitu kimepelekea kukundikia ujumbe huu naona mtiririko wa kodi umekua mwingi ni jana tu nmesikia ya kwamba unamkakati wa kuwabana wenye nyumba na wao walipe kodi ni kweli unaitaji hela ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.