Machache niliyojifunza kwenye kesi ya Tundu Lissu

Afixa0

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
464
485
By Malisa GJ,

1. Kesi hii imeweka historia ya kuwa kesi ya kwanza kusikilizwa hadi saa 3 usiku kwa masaa 7 mfululizo.

2. Kesi hii imedhihirisha kwamba Mawakili wa Chadema ni hodari na wenye weledi mkubwa wa sheria, na mawakili upande wa Jamhuri wanawahofia. Kwa mfano jana Mawakili wa Jamhuri walimhofia Peter Kibatala na wakaona njia pekee ya kumkwepa ni kujaribu kuomba awe shahidi upande wao. Maajabu.!!

3. Lissu mmoja au Kibatala mmoja ni zaidi ya mawakili wote wa Jamhuri (including AG Masaju na DPP).

4. Mfungwa aliyetoka gerezani bila maandalizi yoyote (Lissu) aliweza kuwashinda mawakili huru waliokuwa wamejiandaa kwa siku kadhaa kabla ya kesi. Paradox.!!

5. Mawakili wa Jamhuri wanatia doa taaluma ya sheria nchini. Hawajui sheria na hawajui kama hawajui. Ukitaka kushindwa kesi yako "itz vere simpo". We wape mawakili wa Jamhuri wakutetee. Count ya kwanza

6. Asilimia 98% ya vijana wa CCM walioshinda mitandaoni kuandika kwa furaha habari za kukamatwa Lissu jumatano ya tar 03 July, jana walikaa kimya kama ng'ombe waliokatwa mikia. Utadhani wote waliishiwa "bando" kwa wakati mmoja.

7. Mawakili wa Jamhuri wanafanya kazi kwa mazoea. Haiwezekani wakili aliye "siriazi" kupeleka mahakamani "Hati ya Kiapo" isiyo na tarehe wala anuani. Comrade Chilumba anasema kuna haja ya kuchunguza weledi wao ktk utendaji na kuhoji elimu zao, ikiwa ni pamoja na kufuatilia maendeleo yao kitaaluma walipokua shuleni.

8. Watanzania wengi sana walikua wanafuatilia kesi hii, na wengi wao wakiomba Mahakama itende haki. "Presha" ya kusikiliza hatma ya dhamana kwa Lissu, ilikaribia kulingana na "presha" ya kusikiliza sauti ya Jaji Lubuva akitangaza matokeo kipindi cha uchaguzi. Kuna watu jana "walipiga maji" kwanza ndo wakapata ujasiri wa kusikiliza kesi.

9. Pamoja na mfumo mbovu wa Mahakama zetu bado kuna Mahakimu na Majaji wanaotenda haki bila hofu yoyote. Hawa ndio wanaosaidia kurudisha imani ya wananchi dhidi ya mfumo wa mahakama. Hakimu aliyesikiliza kesi ya Lissu sio kwamba tu alitenda haki, bali pia alifanya haki ionekane kutendeka. Mungu ambariki sana.!

10. Sikushangaa Lissu kuweza kujitetea na kupewa dhamana, ila ningeshangaa kama angekosa dhamana kwa kushindwa kujitetea. To me Lissu kuwashinda mawakili wa Jamhuri kwa hoja SIO HABARI, ila Mawakili wa Jamhuri wangemshinda Lissu kwa hoja ndio INGEKUA HABARI. Hii ni kwa sababu Tembo hajawahi kutishwa na vyura hata wawe maelfu.!

‪#‎UKUTA_September_1‬

Malisa G.J
 
Mkuu Malisa hii kesi nafikiri itakua ya pili kusikilizwa usiku kwani kuna ile ya kusitisha maandamano ya waalimu 2008 ilitolewa hukumu ya zuio saa nane usiku.Wakuu mtanisahihisha kama nimekosea.
 
Wamepoteza hela za bure kabsa kumtoa singida to dar es salam kwa gharama Kubwa alafu mnashindwa hii ni aibu siku nyingine wajifunze na wamwambie anaitjika dar na hao mawakili mtukufu atadili nao mbona michezo yao mtukufu anaijua na nakumbuka alishawaambia wanakula hela huku na huko ili selikari ishindwe kwenye kesi na imetokea jana wameshindwa kwenye kesi basi mtukufu atakula nao sahani moja
 
By Malisa GJ,

1. Kesi hii imeweka historia ya kuwa kesi ya kwanza kusikilizwa hadi saa 3 usiku kwa masaa 7 mfululizo.

2. Kesi hii imedhihirisha kwamba Mawakili wa Chadema ni hodari na wenye weledi mkubwa wa sheria, na mawakili upande wa Jamhuri wanawahofia. Kwa mfano jana Mawakili wa Jamhuri walimhofia Peter Kibatala na wakaona njia pekee ya kumkwepa ni kujaribu kuomba awe shahidi upande wao. Maajabu.!!

3. Lissu mmoja au Kibatala mmoja ni zaidi ya mawakili wote wa Jamhuri (including AG Masaju na DPP).

4. Mfungwa aliyetoka gerezani bila maandalizi yoyote (Lissu) aliweza kuwashinda mawakili huru waliokuwa wamejiandaa kwa siku kadhaa kabla ya kesi. Paradox.!!

5. Mawakili wa Jamhuri wanatia doa taaluma ya sheria nchini. Hawajui sheria na hawajui kama hawajui. Ukitaka kushindwa kesi yako "itz vere simpo". We wape mawakili wa Jamhuri wakutetee. Count ya kwanza

6. Asilimia 98% ya vijana wa CCM walioshinda mitandaoni kuandika kwa furaha habari za kukamatwa Lissu jumatano ya tar 03 July, jana walikaa kimya kama ng'ombe waliokatwa mikia. Utadhani wote waliishiwa "bando" kwa wakati mmoja.

7. Mawakili wa Jamhuri wanafanya kazi kwa mazoea. Haiwezekani wakili aliye "siriazi" kupeleka mahakamani "Hati ya Kiapo" isiyo na tarehe wala anuani. Comrade Chilumba anasema kuna haja ya kuchunguza weledi wao ktk utendaji na kuhoji elimu zao, ikiwa ni pamoja na kufuatilia maendeleo yao kitaaluma walipokua shuleni.

8. Watanzania wengi sana walikua wanafuatilia kesi hii, na wengi wao wakiomba Mahakama itende haki. "Presha" ya kusikiliza hatma ya dhamana kwa Lissu, ilikaribia kulingana na "presha" ya kusikiliza sauti ya Jaji Lubuva akitangaza matokeo kipindi cha uchaguzi. Kuna watu jana "walipiga maji" kwanza ndo wakapata ujasiri wa kusikiliza kesi.

9. Pamoja na mfumo mbovu wa Mahakama zetu bado kuna Mahakimu na Majaji wanaotenda haki bila hofu yoyote. Hawa ndio wanaosaidia kurudisha imani ya wananchi dhidi ya mfumo wa mahakama. Hakimu aliyesikiliza kesi ya Lissu sio kwamba tu alitenda haki, bali pia alifanya haki ionekane kutendeka. Mungu ambariki sana.!

10. Sikushangaa Lissu kuweza kujitetea na kupewa dhamana, ila ningeshangaa kama angekosa dhamana kwa kushindwa kujitetea. To me Lissu kuwashinda mawakili wa Jamhuri kwa hoja SIO HABARI, ila Mawakili wa Jamhuri wangemshinda Lissu kwa hoja ndio INGEKUA HABARI. Hii ni kwa sababu Tembo hajawahi kutishwa na vyura hata wawe maelfu.!

‪#‎UKUTA_September_1‬

Malisa G.J

Mbona yote yaani namba 1-10 yanafanana kwa nini usingeweka tu Aya moja au mbili? Au haufahamu maana ya kuoutline mambo?
 
Nilipo taka kuzimia kwa mshangao ni pale mawakili wa serikali walipotaka Lissu anyimwe dhamana kwa kurejea kifungu cha sheria ya Afrika kusini ya wakati wa Makaburu. Sijui hapa walikuwa wanatoa salam gani kwetu, kuwa nchi hii sasa tuna fata mambo yale ya makaburu au nao wamechoka kuburuzwa sasa walitaka kuiaibisha serikali ya "kikaburu" wanayoitumikia?
Hapo kuna neno zito, labda AG mwenyewe aje atoe ufafanuzi ni vipi ofisi yake ina quote vifungu vya makaburu katika kesi ya "kisiasa"?
 
Back
Top Bottom