Recent content by Mr Adam Gella

  1. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania Mjomba wangu sitakusahau

    Bongo ukiumia kwa stress ni kama umejitakia tu maana Ma Comedians wamejaa nchi nzma!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania Najuta kuhamia kwangu Kerege

    Duuh Kerege mbali sana!sisi tumehama Sinza tukahamia Madale mwisho!Dah siku za mwanzo kwa kweli nlkua napaona bush bush kweli lakini nimeanza kuzoea!Watu wanajenga sana pia viwanja vipo,panafikika kwa kupitia Wazo hill ukitokea Tegeta kibaoni vilevile unaweza fika Madale mwisho kwa njia ya Goba...
  3. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Kwahio tusuburisubiri kwanza?Maji yapungue sio[emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilimo cha mpunga Bahi

    Nini ilkua changamoto kubwa iliyokukumba mkuu?Ili na wengine tujue namna ya kujipanga....mwaka huu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Maswali, majibu na ushauri kuhusu Kilimo cha Mpunga cha kitaalam pamoja na masoko yake

    Wazee wa Kipunga ....?Kwema mambo yanaendaje uko field?? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO KOROGWE MJINI NIJE DAR secondary 0769 591585 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    dah mpaka Vilaza Djibouti wameshinda na odds zao mlimaa.... Hii kazi hapana aisee daah
  8. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania Takribani wanafunzi 1,129 wame-disco UDSM na wengine zaidi ya 7,000 wanatakiwa kurudia mitihani yao

    Usista duu na usharobaro umewazidi let them suffer! I wont forget those late night hussle in COET A1!! Skuizi wengi wao wanakesha Maison na nextdoor plus kushinda instagram tu! Hatukatai bata,ile iwe baada ya kazi!acha wakauone mtaa ulivyo sasa!
  9. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Chelsea nliwapa 2+ kuna wapumbavu wa ujeruman ndo wamenipiga daah,game ya chels nliiishutukia
  10. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah yan hawa wasenge bas tu nmeyaomba Gg mpka saiv kimya!!
  11. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Daah Sina Hamu na hii kazi
  12. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    NJOO KOROGWE MJINI NIJE DAR SEC,0769 591585
  13. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wasenge hawa brugge dah ***** zao mbwa hawa!
  14. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Namskilizia naona kimyaaa tu
  15. Mr Adam Gella

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Apigweee tuu hata 2 nmeomba 2+
Back
Top Bottom