Recent content by Mr Acky

  1. Mr Acky

    Simulizi: Kisanga

    [emoji38][emoji38]
  2. Mr Acky

    Simulizi: Kisanga

    KISANGA!!! ( Hisia za Mrithi) Mtunzi Akida Siri Rambao Contact 0658328596 MSIMU 1 Ilipoishia... ya mapigo ya moyo macho yamemtoka huku akimtazama mmoja ya wao aliyekuwa akikwepesha macho yake lakini umauti ulikuwa mbele yake akijitahidi kushindana nao na hali akihaha kusema kitu sauti...
  3. Mr Acky

    Story: The Hidden Truth (Ukweli Uliofichika)

    The hidden Truth (Ukweli Uliofichika) Nani Anahusika!!! Mtunzi Akida Siri Rambao Contact 0658328596 MSIMU 4 Ilipoishia... ....Channel 2” alimaliza kuongea moja ya watangazaji waliokusanyika nje ya uzio wa Kituo kikuu cha Polisi Dar es salam. Tuendelee... SEHEMU 13A: MSIBA “Samuel anashikwa...
  4. Mr Acky

    Simulizi: Kisanga

    KISANGA (Hisia za Mrithi) Mtunzi Akida Siri Rambao Email akidasiri@gmail.com Ilipoishia.... kapita kimya kila mmoja akitazama upande wake, wamewekeana mgongo. “Haya sawa tuone bahati iliyobakia kama ni yetu” alisema Mbonde na kunyanyuka zake akiondoka akimuacha dada Jojo kashika tama kama yupo...
  5. Mr Acky

    Story: The Hidden Truth (Ukweli Uliofichika)

    The hidden Truth (Ukweli uliofichika) Nani Anahusika??!! Mtunzi Akida Siri Rambao MSIMU 4 Sehemu 12 J: Ahadi Iliyotimia Ilipoishia.... .....pia mwambie Pater hivyo na wewe ufanye kazi yako, sitaki uingie kwenye matatizo…nitakusikiliza niahidi utabaki kwenye mipaka yako” Samuel alimaliza na...
  6. Mr Acky

    Story: The Hidden Truth (Ukweli Uliofichika)

    The hidden Truth ( Ukweli uliofichika) Mtunzi Akida Siri Rambao Email akidasiri@gmail.com MSIMU 4 Sehemu 12 I : Ahadi Iliyotimia. Ilipoishia.... ....inamaana Shalon alielewa na kujua kilicho tokea ndomana hakuwahi kunipendaaa alihefadhi kila kitu” aliongea Samuel na kujilaza kitandani na...
  7. Mr Acky

    Simulizi: Kisanga

    KISANGA!!! ( Hisia za Mrithi) Mtunzi Akida Siri Rambao 0658328596 MSIMU 1 Sehemu 4 G Ilipoishia... .....da ni kama hakuelewa au kushangazwa na maneno hayo naye akavunga kwa tabasamu “Asante mjomba” akasogea na kumkumbatia, nyuma akionekana kuuvimbisha mdomo wake. Tuendelee... Mbonde akaanza...
  8. Mr Acky

    Simulizi: Kisanga

    KISANGA (Hisia za Mrithi) Mtunzi Akida Siri Rambao Sehemu 4F Ilipoishia.... .... wa Nkole yupi, Nkole kwani anamtoto?!” Fiyona alisema sasa akisimama katoa macho huku akizivuta kumbukumbu taratibu, Mbonde akimshanga tu “…ina...Ohh! yule ni mtoto wa Nkole!?” “Unashangaza sana wewe, naz...
  9. Mr Acky

    Story: The Hidden Truth (Ukweli Uliofichika)

    Simulizi: The Hidden Truth ( Ukweli uliofichika) Mtunzi Akida Siri Rambao MSIMU 4 Sehemu 12 H: Ahadi Iliyotimia Tulipoishia... ....nikuache nitakutembelea badae kidogo na ujiandae kunipa address ya Komandoo Swai” Salimu (Pius) akaondoka. “Amerithi mambo mengi toka kwa baba yake like farther...
  10. Mr Acky

    Simulizi: Kisanga

    KISANGA (Hisia za Mrithi) Mtunzi Akida Siri Rambao Email akidasiri@gmail.com Contact 0658328596 MSIMU 1 Sehemu 4 E Ilipoishia... .... alibaki kumtazama tu na kutingisha kichwa akisikitika, nikama anajua yamlizayo au asitamani kuyajua hakutia neno zaidi ya kumuangalia kwa kuibia mdomo...
  11. Mr Acky

    Story: The Hidden Truth (Ukweli Uliofichika)

    Asante Sana, Naam... majukumu nayo yalizidi mno.
  12. Mr Acky

    Story: The Hidden Truth (Ukweli Uliofichika)

    The Hidden Truth (Ukweli uliofichika) Nani Anahusika?!! Mtunzi Akida Siri Rambao email akidasiri@gmail.com Contact 0658328596 Sehemu 12 G: Ahadi Iliyotimia Ilipoishia... .....ikawa ndio habari ya mjini. Tuhuma ya mauaji ya familia ya Richard iliyoteketezwa na moto takribani miaka ishirirni...
  13. Mr Acky

    Kama wewe ni mwandishi wa vitabu pitia hapa!

    Nimekuelewa bro
  14. Mr Acky

    Kisanga

    Picha limeisha
  15. Mr Acky

    Story: The Hidden Truth (Ukweli Uliofichika)

    Mambo yaliingiliana Sasa tutaungana soon
Back
Top Bottom