Mr Acky
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 234
- 313
- Thread starter
- #201
The Hidden Truth (Ukweli uliofichika)
Nani Anahusika?!!
Mtunzi Akida Siri Rambao
email akidasiri@gmail.com
Contact 0658328596
Sehemu 12 G: Ahadi Iliyotimia
Ilipoishia...
.....ikawa ndio habari ya mjini. Tuhuma ya mauaji ya familia ya Richard iliyoteketezwa na moto takribani miaka ishirirni iliyopita ndiyo iliyokuwa inamkabiri Samuel wakati huo, kila aliyekuwa katika zama zile alishtuka na kuziba mdomo na kuachwa midomo wazi pia taarifa ya kuwepo hai kwa mtoto pekee wa Muheshimiwa Richard nayo kwa uzito wake iliamsha hisia mpya na zilizo lala kwa mikutano iliyojengwa na vikundi katika sehemu zote za shughiuli za kijamii. It
Tuendelee
*****
Kawe, Kinondoni-Dar es Salam
Salimu simu ilikuwa sikioni mkono mmoja ukiwa umeshikilia kikombe chenye kahawa kifua wazi amekaa katika moja ya kiti katika ofisi ya siri macho yakiwa katika screen ya desktop “…nimekuelewa vizuri ndoo natazama hapa kupitia google application…yeahhh nimeona hapa” muda huo huo Mlango ukafunguliwa na Meroda akaingia “Vipi baby amekutimia tayari” Salimu akapelea kikombe mdomoni akavuta fundo moja na kukiweka kikombe mezani. Kisha akalitazama toto la kihaya likiwa na nguo ya kulalia transparent vichuchu kufuli la rangi nyeupe likionekana huku chuchu zikitaka kutoboa vazi hilo zitoke kwa msimamo,
Salimu akatabasamu “Yea teyari honey nataka kuhamishia katika Computer nijionee mwenyewe sogea karibu” aliongea na sasa umakini ukaongezeka katika desktop akitazama ramani ya msitu wa Magamba Lushoto. Baada ya dakika chache simu ikiwa sikioni “… yea nimekupata vizuri mzee nakata simu sasa hivi” alikata na kuchukua USB HD ndogo akachomeka kwenye simu yake na kuhamisha file kisha akaitoa USB na kuichomeka kwenye computer haraka haraka alifungua faili “Mhhh” alisikika akiguna na macho kuyatoa Meroda akiwa nyuma ya kiti alichokalia akiwa na kikombe cha kahawa alibaki kutabasamu tu
“Ebwana ee haiwezekani Samuel na Pater wawe na nguvu ya kiasi hiki mbona kama wanajiandaa na Uasi hawa watu” Macho yalimtoka akizitazama picha alizotumiwa na Karimu toka katika kambi ndani ya msitu wa Magamba Lushoto, picha hizo ziliwaonesha wanaume wakiwa mazoezini, majengo, ulinzi mkali, na shamba la bangi na cocain. “Yeah ni kweli mpenzi ile kambi inatisha ina kila kitu ndani na idadi kubwa ya watu kama nilivyo watarifu siku za nyuma isitoshe ina watalamu wa kila namna lakini mpaka hivi leo sio mimi wala kina Samira wanaojua kuwa nyuma ya Samuel na Pater kuna nani na nani japo hilo tunaliamini” aliongea Meroda na kumfanya Salimu (Pius) kutingisha kichwa kukubali
“Nahisi wanataka kuipindua serikari hawa jamaa mbona wana nguvu ya kijeshi kiasi hiki” waziwazi Salimu (Pius) alionekana kuchanganyikiwa wasiwasi ukimuingia ‘Tutaweza kweli’ “Hilo linawezekana mpenzi tunapaswa kuchukua hatua kabla hawajatuwahi naamini huko waliko wana taarifa ya kukamatwa kwa mshirika wao mkubwa sijajua wamejipangaje na Pater na yeye kwa taarifa za haraka hayupo nchini” Salimu (Pius) akakusanya mikono yake na kutafakari kwa muda “Kama kuna watu nyuma ya Samuel na Pater basi Samuel yupo kwenye matatizo lazima watamuwinda aidha wamtoroshe au wamuuwe kuna haja ya kukutana na Samuel leo leo” aliongea Salimu “Yea itakuwa vizuri najua hilo unalimudu sina shaka na wewe mpenzi basi jiandae na uende” aliongea Meroda sasa akimshika begani macho yake regevu yenye kusema
“Nataka” yakimdondokea Salimu aliye baki kujichekea “Teyali nina maradhi twende ukanitibu kwanza” Salimu aliongea akimaanisha maana ulijali ulimsukuma kengere ya ushabiki na kiu ya penzi ilimjaa na kupelekea bukta yake kutuna na kucheza cheza Meroda akabaini akatabasamu akasogea zaidi na kukaa juu ya mapaja ya Salimu “Nitakutibu hapa hapa unataka dozi au nusu dozi” aliongea kwa kunong’ona teyali midomo ikiwa masikioni mwa Salimu mikono ikizunguka mgongoni huku akizungusha kiuno na miguno ya huba ikimuelemea “Nipe vyote mpaka nisahau shida zangu, sita kwenda leo nimeghairi huba nataka unipe vyote” aliongea Salimu kwa sauti ya mtetemo mikono teyali ikiwa kwenye matuta akipalaza kufatisha maporomoko hadi katika mfereji akitafuta kisima cha asali Loo! Wakaingia kwenye sayari ya huba wakishereheka.
Central Polis Station, Kinondoni-Dar es Salam.
Salimu akiwa kasimama mlangoni akimtazama Samuel ambaye na yeye alikuwa kamkazia macho ya uchu na hasira ya wazi wazi, akaanza kupiga hatua fupi fupi kisha akakaa katika kiti kilichokaribu na kitanda. “Shikamoo” aliongea Salimu “Itabadilisha kitu gani kaa nayo mwenyewe” Samuel alijibu, Salimu akaiuma midomo yake kisha akatoa pumzi nzito
“…nimekuja kama mwanao nataka tuzungumze kuhusu sakata la jana na kama tutaelewana basi wewe utabaki salama na heshima yako na mimi nitakuwa nimefanikisha kazi yangu ya miaka mingi mimi ndiye muamuzi wa wewe kudhibitiwa au laa” aliongea Salimu (Pius) Samuel alibaki kimya tu “Baada ya uchungunzi tumeitambua kambi yenu ya uharifu kule Lushoto na cha zaidi sio wewe wala Pater wala ushirikiano wenu unaoweza kumiliki watu wote wale na kambi kubwa ile bila mkono toka sehemu yenye nguvu” aliongea tena Salimu akitembea taratibu chumbani humo.
Samuel ambaye muda mwingi alikuwakimya akitazama pembeni kuepuka macho ya Salimu alijikuta akigeuka na kumtazama kwa mshangao na uso ukiwa na viulizo vingi “…yea tangu nimeligundua hilo…nimejikuta nikibadili maamuzi yangu na hata kukuonea huruma hasa wewe” Samuel akiwa bado anamtazama Salimu, “Najua ni vita ya mapenzi ambayo sikupaswa kuingilia wacha niiache kama ilivyo ila na naomba umsamehe baba angu huko alipo ili aishi kwa amani japo sijui ilikuwaje” Samuel alimeza mate na wazi uso ukionesha kuelewa kinacho maanishwa “…Pius…unachokitaka kwangu ni nini?”
Mzee Samuel alijikuta akiongea “Mzee ninacho kitaka kwako kwanza umsamehe baba yangu pia umsamee Shalon mtu yeyote asiye jua undani wa mambo haya angeweza kureact kama alivyoreact Shalon…” Salimu aliongea na kukaa kitandani karibu na Samuel “Unajua nini Pius mapenzi ni kitu cha ajabu sana unapo kuwa unapenda ni rahisi kufanya kitu chochote kile” kwa masikitiko aliongea Samuel na kunyanyua mkono wake na kuanza kufuta mchozi yaliyo anza kumtoka machoni “…nilipaswa kumuacha Sabrina afanye anachokitaka na nilikuwa na uwezo wa kuwa na mwanamke mwengine mzuri na tajiri lakini nilikuwa pofu sikuona wala sikusikiliza shauri za watu, kwa ujinga wangu tulipoteza maisha ya mtu ambaye hakuwa na hatia kabisa Mchungaji Johnson loo! Nafsi inanisuta sikuwahi kupata maumivu kama hivi sasa” aliongea Samuel na kuanza kulia na kushindwa kuendelea kuongea kabisa,
Salimu alimeza mate na kutingisha kichwa kusikitika “…pole baba bado una nafasi mimi nitakuwa mwanao na Shalon atabaki kuwa mwano pia vipo ulivyovipoteza lakini sisi wawili hujatupoteza unaweza usiamini lakini nilikaa na ndugu yangu tukayaongea yote” aliongea Samuel. Zikapita dakika kama kumi na tano hivi Samuel akiwa anaugulia maumivu ya moyo na mara aka akkokhoa na kuongea “Pius kuna bwana mmoja anaitwa Komandoo Swai huyu bwana ndiye konkod wa ile kambi kule Lushoto historia yake imekuwa ngumu kidogo kuifahamu labda kwa sababu sikuwa na muda huo lakini ni mwanajeshi aliye simamishwa kazi miaka hiyo naweza pata hisia kuwa huenda anakisa na baba yako na alinitumia mimi kulipa kisasi chake kwa udhaifu wa mapenzi yangu kwa Sabrina” Salimu (Pius) akatingisha kichwa akionekana kukubali na kuelewa “ Yea naelewa naelewa sasa nimeelewa vizuri” aliongea Salimu
“Alitupatia kila tulochokihitaji na kutushawishi kuingia katika biashara haramu na kwakuwa tulikuwa vijana tuliopoteza dira ya biashara na heshima kama mimi niliwahi kuingia kwenye siasa kwa lengo la kuongeza kipatp juu ya hasara nilizozipata baada ya kutelekezwa na Richard lakini sikuijua Siasa inataka nini nilijiuta nikipotelea huko mazima baada ya Richard na yeye kuingia kwenye hilo kila nilipojifananisha nae sikumfikia bwana yule nikapoteza jimbo” alijisikitikia Mzee Samuel kwa kutingisha kichwa baada ya kuongea
“Lakini mpaka leo hatuja wahi kuiona sura ya Huyo aliyejiita kuwa ni Komandoo Swai alikuwa ni mtu wa kuvaa kinyago kila tulipokutana naye pia hatujui, sijajua bwana yule ananguvu gani mana kila alilolitaka lilikuwa tena kwa wakati lakini alitusisitiza tusije mwambia mtu yeyote kuwa Komandoo Swai ni boss wetu yani mpaka leo kila mtu anaamini sisi ndio kila kitu” aliongea Samuel safari hii macho yakiwa makavu kabisa “Komandoo Swai aliwahi kukwambia kwanini aliamua kufanya hivo” Salimu aliongea na kukaa vizuri akimakinika “Yea ni kama sisi tu, ni mtu aliyepoteza familia yake na alisalitiwa na jeshi akituhumiwa na kesi ya ugaidi, Uasi na biashara ya madawa ya kulevya” aliongea Samuel akiwa ni mwenye kujiamini sana
“Basi Mzee Samuel hakunashida baba nashukuru kwa kuelewana kama nilivyotamani japo haikuwa rahisi, ni hivi utaupata ulinzi mkubwa tu na pia usiwe na shaka ya kusimama kizimbani na kujibu kile unachokijua naamini utakuwa sehemu salama na pale ulipo kosea basi ukubali kuadhibiwa kwa moyo mmoja tafadhari, naomba nikuache nitakutembelea badae kidogo na ujiandae kunipa address ya Komandoo Swai” Salimu (Pius) akaondoka. “Amerithi mambo mengi toka kwa baba yake like farther like son” alijisemea Mzee Samuel akimuangalia Salimu (Pius) akiishilia mlangoni katika rumande hiyo.
Itaendeleaa...