Mshana huo ndo ukweli japo mchungu kumeza kwa hawa wenzetu wanaojiita waponyaji.
Inasikitisha Sana mtu anaanza kuhubiri akiwa anauchumi wa kawaida tu then muda si mrefu anakua bilionea, waumini wake wakiwa hoi kiuchumi.
Nakubaliana na Trevor 100%
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebana Mkuu Mshana wewe nahisi ni..
.. Hua Mara nyingi unatoka unique kinyama.
Kama hapa kwenye Moshi wa nanihiii [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maelezo meng, yamejaa upumbavu na uzandki tupu.
Kifupi Makonda hakuvamia Clouds FM, bali aliambatana na walinzi kama guard baada ya kulianzisha la dawa za kulevya na kutaja vigogo wazito.
Kete ya kwamba Makonda alivamia Clouds, ilianzishwa na Kina Mzee Mengi akiongoza baadhi ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.