Vladmir Putin hawamuwezi kwa pose!!

Vladmir Putin hawamuwezi kwa pose!!

Kuna umwamba gani hapo; mtu mwenyewe amezungukwa na makomandoo na rada toka pande zote zinammulika asije akaibwa. Kwa utaratibu huo hiyo "show off" hata mtoto angeipiga.
angalia tumbo la putin,then check tumbo la bodyguard halafu sema nani yuko fit zaid ya mwenzake
 
Duniani Tuna maraisi wanaume watatu tuu..
>>John pombe Magufuli
>>Kim jong un
>>Viraldnivich putin
Walio baki wote wanawake kasoro kuvaa pedi

Namba moko tupa kwenye dust bin ya wavaaji........
1.Tundu Lissu
2.Kim Jong Un
3.Putin
 
jamaa sijui kabeba nini mkononi...
Vladimir-Putin-macho-pose-009.jpg
Machine ya kuvulia samaki hiyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom