Askofu Gwajima akitaka aheshimike...

Askofu Gwajima akitaka aheshimike...

wew unayemtolea gwajima mapovu ulishawah mnunulia mtoto wa jirani hata daftari? ulishaenda hata hospital ukawapa maskini kipande cha sabuni au machungwa? toa kwanza boriti kwenye jicho lako
wewe ndio unayofanya uliyoandika hapo juu na maisha yako wewe ni hivi:
  • ni mtu asiyejali
  • hupenda sana kulaumu hata kama unajua wazi kuwa hufanyi haki
  • unapenda kwenda na umati ili mradi nawe upo bila kuangalia matokeo yake yapo vipi
  • hupenda kuwapasha wengine mipasho ili mradi wameumia na kukuogopa
  • umbea ni kitu ukiendacho sana na unafikiri ndio maisha yenyewe na mambo ya kweli ni ya kufikirika tuu
  • unatumia fedha nyingi kwa mambo yasiyo na faida ili mradi nawe upo kwenye "chati"
 
Sio anunue ndege ya gharama kubwa tena iliyotumika, kimeo ambacho matengenezo yake yatazidi kuwatia waumini mzigo mkubwa zaidi wa sadaka na michango.

Askofu awasaidie maskini, ajenge shule, hospitali, nyumba za kulea yatima na wasiojiweza. Anayo chopa tayari, sasa ndege, tena jet itakayokula gharama kubwa mno!

Siamini kamwe kama mtu wa namna hii MOYO wake upo kwa waumini wake MASKINI!!! Siamini kamwe kama mtu wa namna hii ana HURUMA na wasiojiweza! Siamini kamwe kwamba Askofu anatimiza aliyoagiza YESU KRISTO, kwamba; Dini ya kweli ni hii.... Yakobo 1:27!
Gwajima ni fisadi kama fisadi wengine tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndipo watu wengi hukosea kufikiri kujenga shule au hospitali ni kazi ya serikali. Hata kujenga barabara sio kazi ya serikali pekee nchi za watu wengine watu binafsi hujenga barabara, viwanja vya ndege, vyuo vikuu nk. Una ushirika na Gwajima nini?
Watu binafsi kujenga hospitali na barabara sio kazi yao ni hiyari yao...leo hatuwezi kukulazimisha wewe kujenga barabara hata kama unapesa vipi ni hiyari yako...lakini serikali tunaweza kuilazimisha kujenga barabara,huduma nzuri za afya na kujenga shule sababu ndo inakusanya kodi zetu...kazi ya kutoa huduma za jamii sio hiyari kwa serikali ni lazima...kodi zetu sio mali yamtu binafsi na tuna haki ya kuipangia matumizi...hizo pesa za gwajima hata kama akiamua kuzitumia zote kuhonga wanawake or kufanya chochote we mwanaume hutakiwi kuingilia matumizi ya pesa ya mwanaume mwenzio...tafuta zako ndo uzifanyie hicho unachomshauri mwanaume mwenzio kuzifanyia
 
Hapo ndipo utagundua dini ni siasa na siasa ni uchumi.

Na utaelewa kwa nini wahenga walisema "Wajinga ndio waliwao".

Mtu hajui ugali wa kesho utatoka wapi, anatoa sadaka ili askofu anunue ndege ya anasa.

Kwani huyo askofu hawezi kupanda commercial flight?

Dege kama hilo kuwa hewani kwa saa moja ni takriban dola za kimarekani 5,000.

Hapo hatujazungumzia matengenezo, mshahara wa marubani, bima etc.

Hilo dege ni gharama sana kulitunza, linaweza kugharimu $700,000 kwa mwaka.

Sent from my Kimulimuli
 
Naona watu kapovu kanawatoka taratibu lazima heshima irudi na wanaoponda oooh jet ya kizamani kwenye jet hakuna cha zamani Wala Nini Kuna ndege zimetengenezwa in the 70 's na zinagonga mzigo balaa.
 
Hapo ndipo utagundua dini ni siasa na siasa ni uchumi.

Na utaelewa kwa nini wahenga walisema "Wajinga ndio waliwao".

Mtu hajui ugali wa kesho utatoka wapi, anatoa sadaka ili askofu anunue ndege ya anasa.

Kwani huyo askofu hawezi kupanda commercial flight?

Dege kama hilo kuwa hewani kwa saa moja ni takriban dola za kimarekani 5,000.

Hapo hatujazungumzia matengenezo, mshahara wa marubani, bima etc.

Hilo dege ni gharama sana kulitunza, linaweza kugharimu $700,000 kwa mwaka.

Sent from my Kimulimuli
Unaakili za mgando sana kwahiyo unadhani waliotengeneza ndege hiyo walipanga kuwa wazungu ndio wamiliki pekeyao acha uzwazwa pambana na hali yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom