Recent content by Mpukuswa

  1. M

    Je, biblia ni copy & paste ya hadithi za kale za kipagani na sio UHALISIA?

    Acha kufananisha Biblia na vitu vya kijinga!
  2. M

    Tukumbushane;unaijua TMO? unakumbuka nini kuhusu TMO wakati uko shule?

    Hahahaha na baiskel yake! Enzi ya Yamsebo
  3. M

    Ip njia salama za kuifadhi vyeti kama naenda kutafuta maisha nje

    Botswana wewe ni Daktari? Kama sio huwezi tafuta maisha botswana siku hizi mambo yamebadirika sana huko. Any way nenda lakini kule kugumu sana kama hauna ramani
  4. M

    Nimealikwa Botswana; Mnishauri mambo muhimu ya kuzingatia kabla sijaenda huko

    Kaka najua yafuatayo 1. Usafiri Unawez fika Gabarone kwa njia ya anga au basi. Anga kuna kampuni 2 nazo ni Kenya airways na South African Airways. KQ is cheaper and it takes 3.5 hours (Nairobi -Gabs) lakini utapandia JK Nyerere airport. SA ni expensive kidogo utapanda dar -joberng -then...
  5. M

    Trafic huyu jamani

    Trafik wa kike wa Morogoro ngoja niwaite humu!
  6. M

    Nahitaji kufuta akaunti yangu ya Facebook

    Chukua ufutio wa penseli unafuta vizuri sana wewe mnyamwezi
  7. M

    Spray gani nzuri ya kiume

    Epic adventure sh 30,000/= sio hiyo amount!
  8. M

    Shule 6 zilizofanya vibaya zote ni Zanzibar

    Wewe uliyeenda shule umeziona ngapi?
  9. M

    Je kuna uhalali wa kiasi gani kwa mwajiri kukata mshahara wa mfanyakazi kwa madai ya kutofanyika kwa retirement.

    Utaratibu uko vipi hapo kwenu kuhusu uchukuaji na urudishaji wa retirement? I mean unatakiwa ufanye retirement ndani ya siku ngapi toka umalize /kufanya matumizi ya ile pesa?
  10. M

    Shule 6 zilizofanya vibaya zote ni Zanzibar

    Kuna shida kubwa huko kila mwaka idadi inazidi kuongezeka nadhani muda sio mrefu watakuwa wanachukua zote 10 katika Shule zinazofanya vibaya sana
  11. M

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2018

    Korosho mnazochanganya na mawe? BTW kilimo hakilipi mkuu hapa bongo mnatafuta pesa ya kununua mboga na matumizi madogo madogo!
  12. M

    Wataalamu wa saikolojia: Miaka 5 sina msichana ni mpweke, urafiki umehamia kwa wanyama na ndege

    Huo urafiki wako na wanyama umekaaje? Ndio unamalizia shida zako zote huko kwa kipindi chote cha miaka 5?
Back
Top Bottom