Recent content by Mpopoyezus

  1. M

    JamiiForums Tanzania IGP & RPC Kagera ondoa pandikizi huyu

    Nyie mnaugomvi tu..😁😁
  2. M

    JamiiForums Tanzania Usilolijua juu ya majengo ya UDOM

    Ata kwenye mwili wako tukitaka kulazimisha kutafuta 666 tutaipata tuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini walimu hawazeeki mapema?

    Sio kwamba hawazeeki, Ila mategemeo yetu kuona wakizeeka mapema kutokana na kazi yao ndo kunafanya tuwaone hawazeeki. Ila ukifika umri wa kuzeeka wanazeeka tu mbona
  4. M

    JamiiForums Tanzania Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Moja ya Jambo kubwa sana ambalo Tanzania itakuwa imelifanya japo watu wanachukua poa but madhara ya porn nimakubwa mnoooo kimwili,kiakili na kiroho kuliko tunavyochukulia
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maswali magumu ya mwanafalsafa Epicurus kuhusu mwenyezi Mungu

    If God is omniscient bro you don't have a free will
  6. M

    JamiiForums Tanzania Is God fair ?

    Labda niseme hiv mungu Ni muweza wa yote,upendo mkuu,pia asiyeshindwa lolote. Sasa kwann dunia tunayoishi ina matatizo mengi ina maana huyu mungu anapenda tuishi hiv, Sasa Kama anapenda basi sio mungu mwenye upendo, Kama hapendi tuteseke na yeye Ni muweza wa yote anashindwa vipi kuondoa haya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Errors in genesis

    Uumbaji huanzia kwenye mind, mfano wew unaweza sema kesho kutwa nitajenga Banda la kuku lenye madirisha matatu, mlango mkubwa na tiles chini na ilipofika hyo kesho kutwa ukajenga hvo hvo ulivyotaamka, so uumbaji uanzia ndani kwahyo Haina maana cku ambayo mungu alitamka iwe nuru na giza basi...
Back
Top Bottom