IGP & RPC Kagera ondoa pandikizi huyu

IGP & RPC Kagera ondoa pandikizi huyu

Hao mbona wapo kwenye system kitambo tu. Tunawajua wengine wako pale Uhamiaji Makao Makuu, TRA, TFDA wake kwa waume wamejaa mle.

Ni vile tu hii serikali sio makini lakini kila kitu kiko wazi. Utasemaje ikiwa mke wa Gaudence Lyimo, Meya wa Arusha naye ni Mnyarwanda tena ana pasi ya kusafiria ya nchi zote mbili ilihali Tz inakataa uraia wa nchi mbili?
 
kuna wanyarwanda kibao wako kwenye system ya Tanzania hata sijui mtawatoaje?..

Wewe usiwe na hofu ...
Data zote zipo ..watapotea katika mazingira ya kutatanisha taratibu mpaka wajute kuifahamu Tanzania...
 
najua unajihami, utajulikana na utarudi kwenu tu, hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, je na rwanda mpaka leo muuaji mkuu wa raisi habyerimana ameshakamatwa vile!

Hayo ya Rwanda hayakuhusu, wewe Zungumzia dRUG Dealers wakubwa Tanzania ambao kila uchwao wanaharibuNguvu Kazi ya wa Tanzania kwa kuongeza Idadi ya Ma Teja, wengine inasadikika wanaishi state House, Ukimalizana na haya then Njoo udandie Siasa za Rwanda, Ok aliyemuua Habyerimana ni Kagame, then How does it affect You uki Kompea na athari wanazozipata Vijana wa Ki Tanzania Kwa kunyongwa ama kutumikshwa Kifungo Kirefu Gerezani kwa Kukamatwa na Unga.
Ifikie Kipindi Muone aibu Kupost Upuuzi

Tumia Akili.jpg
 
hii ni kazi ndogo sana, kuwaidentify hatakama walilowea huku tangu 1900 ni rahisi sana, sijui watu wa tiss wanafanya nini!
Mkuu hao Tiss watafanyeje wakati na huko wakubwa kibao tu ni watusi ntapata hasira siku nitataja
 
Hayo ya Rwanda hayakuhusu, wewe Zungumzia dRUG Dealers wakubwa Tanzania ambao kila uchwao wanaharibuNguvu Kazi ya wa Tanzania kwa kuongeza Idadi ya Ma Teja, wengine inasadikika wanaishi state House, Ukimalizana na haya then Njoo udandie Siasa za Rwanda, Ok aliyemuua Habyerimana ni Kagame, then How does it affect You uki Kompea na athari wanazozipata Vijana wa Ki Tanzania Kwa kunyongwa ama kutumikshwa Kifungo Kirefu Gerezani kwa Kukamatwa na Unga.
Ifikie Kipindi Muone aibu Kupost Upuuzi

View attachment 107715

Samahani mkuu ufafanuzi kidogo hapo kwenye red....uko Rwanda au Tanzania?
 
Jamani tunakoelekea inchi itatikisika. Mtikila amewai kutaja chimbuko la mmoja kati ya maRais wastaafu kwamba chimbuko lake ni Msumbiji.Mimi naamini Jeshini, au serekalini watu kama hao ni wengi. watu wa kagera walio wengi wametokea RWANDA hili liko wazi na wengi wao ndio wasomi wa Tanzania. Hekima isipo tumika, kutatokea mgogoro mkubwa kujua nani ni nani na ametokea wapi.

Hivi Mnawajua wa Nyarwanda kweli? hawa watu wako karibia kila inchi sasa mkitaka kuwafaam vizuri, endeleeni na huo chezo. wataunda vyama vya kuawatetea na kesho au kesho kutwa watajiita waasi ili watambulike kama wenyeji wa TZ. Dunia itawatetea kwa sababu ni minority, watasingizia wauwazi ya kimbari ya rwanda na mambo mengi. Naomba Mungu atusaidie tusifike huko, Katiba ya inchi fuate, chuki binafsi zisipewe kipau mbele Zaidi ya yote imani zetu za dini zituongoze.
 
TISS iko kwa ajili ya ku deal na chadema hayo mengine hayawahusu
 
Hayo ya Rwanda hayakuhusu, wewe Zungumzia dRUG Dealers wakubwa Tanzania ambao kila uchwao wanaharibuNguvu Kazi ya wa Tanzania kwa kuongeza Idadi ya Ma Teja, wengine inasadikika wanaishi state House, Ukimalizana na haya then Njoo udandie Siasa za Rwanda, Ok aliyemuua Habyerimana ni Kagame, then How does it affect You uki Kompea na athari wanazozipata Vijana wa Ki Tanzania Kwa kunyongwa ama kutumikshwa Kifungo Kirefu Gerezani kwa Kukamatwa na Unga.
Ifikie Kipindi Muone aibu Kupost Upuuzi

View attachment 107715

wewe ndiye ambaye hautumii akili, huwezi ukawafundisha watanzania chakufanya, tunamalengo yetu nyie subirini.
 
Hv hua kuna kua na kesi endapo spy amepandikizwa na kugundulika kisha akauliwa?
 
wanyarwanda hapa Tanznaia hususani serikalini wako wengi sana, achana na hao hata wasomali wako katika ngazi za juu hapa tanzania. Kazi yao kubwa ni kuchungulia chanzo cha amani na utulivu wetu kisha tusishangae kuona tunatibuana wenyewe kwa wenyewe wao wakiwa kwao.
 
Ndugu IGP pamoja na RPC wa kagera naomba mujue kuwa katika ofisi ya RCO kagera kuna askari polisi anaitwa Chris ambaye napenda niwahakikishie kuwa huyu jamaa ni mnyarwanda 100%, na alijiunga ktk jeshi kwa kazi moja tu ya ukachero.Mimi ninayeandika haya ni mtu ninayemfahamu sana huyu jamaa, naye ananifahamu sana kwani sote tunatokea rwanda, na kwetu ni rwanda japo yeye kuna kipindi aliwahi kuishi karagwe, nafikiri huo ulikuwa ni mtandao wa kumwingiza ktk dola la tanzania. Nimewahi kukuandikia barua wewe IGP yapata kama miaka 2 hivi lakini sijui uliipata au hukuipata?, Jamii forums kuna ukweli japo tunajificha kwa majina ili kujinusuru. Sasa kama wewe IGP/RPC kagera una membership humu, niulize swali lolote nami nitakujibu. Kwakuwa niliandika barua na hamkujishughulisha ku-deal na suala ili nimeona niliweke uchi mbele ya watanzania. Huyu jamaa ni mrefu hivi, na ninajua mtafahamu.

TANZANIA KWANZA RWANDA BAADAE.
Kama na wewe ni mnyarwanda kwa nini usirudi kwenu, unataka mwenzio ndo aondoke. Mimi nigedhani kwamba unamwomba IGP na RPC na maafisa wa uhamiaji wawaondoe nyote.
 
baina
Ndugu IGP pamoja na RPC wa kagera naomba mujue kuwa katika ofisi ya RCO kagera kuna askari polisi anaitwa Chris ambaye napenda niwahakikishie kuwa huyu jamaa ni mnyarwanda 100%, na alijiunga ktk jeshi kwa kazi moja tu ya ukachero.Mimi ninayeandika haya ni mtu ninayemfahamu sana huyu jamaa, naye ananifahamu sana kwani sote tunatokea rwanda, na kwetu ni rwanda japo yeye kuna kipindi aliwahi kuishi karagwe, nafikiri huo ulikuwa ni mtandao wa kumwingiza ktk dola la tanzania. Nimewahi kukuandikia barua wewe IGP yapata kama miaka 2 hivi lakini sijui uliipata au hukuipata?, Jamii forums kuna ukweli japo tunajificha kwa majina ili kujinusuru. Sasa kama wewe IGP/RPC kagera una membership humu, niulize swali lolote nami nitakujibu. Kwakuwa niliandika barua na hamkujishughulisha ku-deal na suala ili nimeona niliweke uchi mbele ya watanzania. Huyu jamaa ni mrefu hivi, na ninajua mtafahamu.

TANZANIA KWANZA RWANDA BAADAE.
Hii taarifa siyo ya kuipotezea kabisa, huyu rafiki yako hatumii facebook, twita, badoo? basi tupia picha yake hapa mara moja. na kama kweli yupo hapa Tz kwa lengo la ushushu basi hata hilo jina la Christopher siyo lake ila amejibatiza tu ili atimize nia yake. ni kweli amani tuliyonayo Tz wenzetu wanaitamani na wanataka kujua chanzo nini. wakumbuke pia kwamba Nyota ya Mtanzania ni Twiga, nadhani twafahamu tabia za twiga.
 
Jamani hivi umu JF huyu Nchimbi na Mwema hawapitagi?
Toka jana hawa Wanyarwanda wameanza kututukana na njia rahisi ni kuwasamehe lakini tupeni Namba za Simu tuwaanike msiwatetee km wauza sembe lukuvi anavyowaficha .
MCHELEA MWANA ..................................
 
Ndugu IGP pamoja na RPC wa kagera naomba mujue kuwa katika ofisi ya RCO kagera kuna askari polisi anaitwa Chris ambaye napenda niwahakikishie kuwa huyu jamaa ni mnyarwanda 100%, na alijiunga ktk jeshi kwa kazi moja tu ya ukachero.Mimi ninayeandika haya ni mtu ninayemfahamu sana huyu jamaa, naye ananifahamu sana kwani sote tunatokea rwanda, na kwetu ni rwanda japo yeye kuna kipindi aliwahi kuishi karagwe, nafikiri huo ulikuwa ni mtandao wa kumwingiza ktk dola la tanzania. Nimewahi kukuandikia barua wewe IGP yapata kama miaka 2 hivi lakini sijui uliipata au hukuipata?, Jamii forums kuna ukweli japo tunajificha kwa majina ili kujinusuru. Sasa kama wewe IGP/RPC kagera una membership humu, niulize swali lolote nami nitakujibu. Kwakuwa niliandika barua na hamkujishughulisha ku-deal na suala ili nimeona niliweke uchi mbele ya watanzania. Huyu jamaa ni mrefu hivi, na ninajua mtafahamu.

TANZANIA KWANZA RWANDA BAADAE.
Acha umbea wewe?
 
Back
Top Bottom