Recent content by mpopa

  1. M

    Mwenye taarifa kuhusu hukumu ya Deci atujuze

    Ndugu wana jamvi naomba mwenye taarifa ya iyo hukumu atujuze.
  2. M

    Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

    Tatizo la huyu bwana ni akili ndogo alionayo. Kawaibia hela watu wa Malawi alipoitwa na Rais wa wakati huo kipindi cha kampeni Bakili Muluzi alizunguka Malawi nzima na Tot yake karudi na mahela hadi kajenga shule kwa jina la Muluzi.Mnafiki huyu hata sisi watu wa Nyasa hatupendi japo kahusika...
  3. M

    Juma Nkamia: JamiiForums inachafua na kuwagawa Watanzania

    Aliemwambia jf inawagawa watanzania ni nani? Hajuwi huyo ushamba na upumbavu alionao ndo hayo.
  4. M

    Hivi ndo Malawi kweli itakayoshiriki kwenye Intervention Brigade?

    Patricia Masinga is nobody in Malawi. Munachonga kama vile nyie ndo wasemaji. Kasema yale niyakwake kwani ni waziri aliezungumza? its rather not a President. Yule katoa maoni yake hata atukane Tanzania haijapungukiwa kitu.
  5. M

    Mawakili wa CHADEMA vs mawakili wa serikali

    Wataweza wapi sbb case zinasukwa na akina mwigulu?
  6. M

    Ni rekodi gani iliyompandisha chati Kikwete kiasi kile mwaka 2005?

    Ninachomushukuru Mungu wangu nikuonyesha mapema kwamba huyu bwana hafai. sikuvutiwa tangu anatangaza nia. kama angepitishwa Mwandosya angepata kura yangu. Kura yangu hakuipata na hatoipata.
  7. M

    CHADEMA M4C Kuunguruma leo Bukoba Mjini Buyekera Sokoni...fuatilia

    Kila la kheri kazitu ndo imebaki.
  8. M

    Dr Slaa aizika CCM Tunduma

    Viva makamanda
  9. M

    Kamanda Kova Umekurupuka Katika Hili - Pata Ushauri wa DPP

    Mm nashanga serikali waisting time kukaa na voingozi wa dini eti kuondoa tofauti za kidini. Let me give them a lesson. Amani huanzia ndani ya mtu na anaeleta amani ya kweli ni Mungu sasa naona ajabu eti mazungumzo. mmezungumza mangapi katika maisha kuhusu maendeleo etc na hakuna matund?. The...
  10. M

    CHADEMA mna mpango gani na majimbo haya ya Kigoma?

    Makamanda wetu pliz sikilizeni hiki kilio. Huu sio muda wakupoteza. We need these guys to go. Dr slaa sasa hv utakua umepunguziwa majukumu nenda kaweke kambi
  11. M

    Siri za Mwigulu Nchemba kutengeneza kesi feki dhidi ya Dr Kitila Mkumbo na Mwita M. waitara zavuja

    Siku ambayo nilimuona Mwigulu ni bahati yake kaenda chuo nipale aliposema hata mbinguni naweza kutoa ushaidi. yule bwana is big for nothing. wala hakujuwa alichoongea halafu mm nasikitika hata mama Rwakatare na Asumpta Mshana wachungaji hawakumukosowa. Mungu hatendi kazi kama anavyowatendea watu...
  12. M

    Swali la Kizushi: Kwanini Job Ndugai anamuogopa Tundu Antipasi Lissu?

    Uwezo wa ndugai ni mdogo. Lissu anaonekana ni msomaji sana kwahy upeo wake lazima uwe mkubwa. Sijawahi kusikia Ndugai anatetea mtu fulani kwenye case fulani. yy ni siasatu hajuwi alisomea nini.
  13. M

    Mabomu ya Machozi Yanapigwa Ruaha (CCM waachieni CHADEMA Ushindi Wao)

    Yaani wakifanya hv utakuwa upuuzi mkubwa kuwahi kutokea.Nchi nzima inajua halafu unataka kulazimisha mtu mwingine aongoze kama vile Meya wa Arusha na Ilemela na makongoro mahanga masere Brandes Serukamba na wengine wengi.
  14. M

    Orodha ya Majimbo yaliyochukuliwa na CCM ki-mabavu uchaguzi mkuu 2010

    I agree with you. Tume huru CCM ikiwa madarakani ni ndoto ila kinachotakiwa CDM ni kuweka mikakati ambayo itafanya CCM na NEC washindwe kupata ushindi. Mm nafikiri hili lakanda is agood step ahead forward inawezekana kuwabana.
Back
Top Bottom