Kimsingi sielewi tatizo ni nini ama Waha tumeikosea nini Tanzania na CHADEMA, wote tunatambua juhudi kubwa za wanakigoma katika kuyapokea mageuzi ya kisiasa hapa nchini kwani tangu vyama vingi vianzishwe mkoa wa Kigoma ulikuwa wa kwanza kutoa mbunge wa upinzani nchini,na kwa sasa mkoa mzima CCM wanamajimbo 3 kati ya majimbo 7 ya uchaguzi.
Kinachosikitisha zaidi ni kwamba mkoa mzima hasa katika majimbo ya Muhambwe, Kakonko, Kasulu mjini na Kigoma mjini kote huko wananchi wanaipenda,kuikubali na kuiamini CHADEMA,na hata wabunge waliopo sasa Machali, Mkosamali, Mama Buyogela, Chiza na Serukamba walishinda either kwa kuiba kura (Chiza Kakonko na Serukamba Kigoma mjini )hawa waliiba kura na baadhi yao ninaushahidi wa kuaminika.
Kwa majimbo yaliyobaki NCCR MAGEUZI walishinda si kwa kuwa wanakubalika kama chama bali ni wananchi kukosa mgombe mbadala toka CHADEMA, Kwa mfano jimbo la Muhambwe na manyovu,japokuwa yapo madai ya watu wa CHADEMA kununuliwa na wale wa CCM,Majimbo yale yanayomilikiwa na vyama tofauti na CHADEMA wabunge wao wanakazi ya ziada kuweza kushinda isipokuwa kwa Kafulila tu ambaye nae kunatarifa zisizo Rasmi kutafta namna ya kurudi CHADEMA yeye na Nakaya na mpango huo unaratibiwa na mmoja wa viongozi wa CHADEMA.
Wakuu pamoja na hayo yote nasikitika kusema ni kama viongozi wa CDM kitaifa wametutelekeza wakazi wa Kigoma na mkoa kwa ujumla,naweza nikasema kwa uhakika makao makuu inahusika katika hili,kwani tangu uchaguzi mkuu wa 2010 hakuna kiongozi yoyote wa chama makao makuu aliewahi kufika hukokwa ajili ya kuimalisha chama yofauti na Zitto ambaye anaenda kama mbunge jimboni kwake
Kwa mfano watu wa huku wanampenda na kumkubali dk Slaa kuliko hata Zitto lakini hakuna harakati zozote za kuukomboa mkoa wa kigoma kutoka kwenye makucha ya CCM,viongozi wa makao wapo bize na kaskazini tu hasa Arusha inauma kwa kweli,tuseme sasa Arusha inatosha twende kigoma jamani,Viongozi wa sasa wa CDM waliopo Kigoma japokuwa wamekitoa mbali chama lakini kwa sasa wamechoka kifikra na kukata tamaa ni rahisi kununulika mfano katibu wa CDM mkoa na Mwenykiti wa CDM wilaya Kibondo mwalimu Ndidyicha huyu amebaki na kazi ya kujipendekeza kwa mkuu wa wilaya hiyo bwana Mwamoto wakati CDM wilaya nzima haina hata ofisi hai ya kupanga wala wanayoimiliki.
Zitto kabwe nae hana msaada wa kisiasa katika mkoa,kwani kwa jina lake na nguvu alizokuwa nazo kisiasa ilikuwa ni jambo la ajabu sana mkoa mzima akashinda yeye tu tena kwa mbinde na ni baada ya dk Slaa kurudi jimboni mwake kupiga kampeni upya,kama haitoshi mpaka sasa hajafanya hata ziara moja ya kuimalisha majimbo mkoani humo hii ni aibu kwani Charity begins@home,wito kwa mwenykiti wetu mbowe akumbuke jimbo la muhambwe la mkosamali alilipoteza baada ya Kumnyima fedha za kampeni dogo mkosamali wakati akijua wazi kuwa bado mwanafunzi wa SAUT ,dk Slaa nakuamini fanyia kazi hili