Recent content by Mponjoli

  1. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania GE2015 Joel Nanauka: Nyota mpya iliyoibuliwa na CHADEMA Mtwara

    Sawa Mama, kwa comment yako tu, nimegundua wewe ndiyo hazina ya taifa hili.
  2. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania GE2015 Joel Nanauka: Nyota mpya iliyoibuliwa na CHADEMA Mtwara

    Una ushahidi wa hii video? Unaweza kuweka link hapa? Vijana wa kiTanzania, tusiwe watu wa hovyo hovyo kuandika vitu ambavyo havina ushahidi. Ingia Google, Instagram, Youtube etc search Joel Nanauka, pitia maudhui yake utamfahamu vizuri. Huyu Bwana nimemfahamu miaka 17 sasa, ni moja kati ya...
  3. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania DOKEZO IGP Wambura, Waziri Masauni futeni ufisadi wa kundi hili la raia ndani ya Jeshi la Polisi

    Gazeti refu sana, ila sijaona jambo linalotakiwa kuchunguzwa zaidi ya mwandishi kuonyesha chuki dhidi ya watendaji wasio raia. Uliichagua kazi unayoifanya, ifanye kwa moyo.
  4. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara akamtwa Uwanja wa Ndege wa JNIA kwa kutaka kusafirisha fedha kinyemela

    Sheria inataka kila unaposafiri na hard cash above $10,000 ufanye declaration pale airport au mpakani. Wafanyabiashara wanaona the easiest, cheapest and most convenient way to transfer funds kutoka Tanzania to China, Dubai au Turkey ni kusafiri nazo wanapoenda kununua mzigo. Debit cards zina...
  5. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Tanzania Yuko Wapi?

    Tetesi gani tena?
  6. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge la Tanzania Yuko Wapi?

    Wadau naomba kuwasilisha. Kiongozi wa juu wa serikali kwa cheo cha Spika wa Bunge ni mtu muhimu sana kwa wananchi na ni vyema tukaendelea kujulishwa na uongozi wa bunge kuhusu aliko. Imekuwa muda mrefu hakuna taarifa rasmi kuhusu mahali aliko, kama anaumwa au la, anaendeleaje, afya yake...
  7. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania Health Laboratory Technologist and Assistant Needed

    Habari za kazi, Wanahitajika wataalamu wa maabara kwa ajili ya maabara mpya binafsi inayotarajiwa kufunguliwa hivi karibuni mkoani Mbeya. Nafasi 1. Health Laboratory Technologist (Nafasi 1 - Part Time) Sifa: a)Diploma ya Maabara kutoka chuo kinachotambuliwa na awe na usajili kamili kutoka...
  8. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Kama uko Dar, 1. Nenda masoko ya Tandale, Mabibo na Tandika. 2. Angalia aina ya mikokoteni/matoroli yaliyopo pale 3. Tengeneza aina kama hayo au boresha zaidi (wastani kila toroli ni 400,000 - unaweza pata kama 10 kwa 4m) 4. Tafuta mnyororo mkubwa na kufuli la kufungia 5. Tafuta eneo la kupaki...
  9. Mponjoli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta CCTV Installation Technician

    Natafuta CCTV technician ambaye atakuwa tayari kufanya kazi mikoani. Nina wateja kadhaa kwa ajili ya kuwafanyia kazi. Tuwasiliane kupitia PM, then nitakupigia
  10. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania Mgombea Ubunge Mtwara Mjini kupitia CHADEMA, apotea kiutatanishi

    Mtu mwenyewe ameshakamatwa kuhusishwa na kupotea kwa Joel Nanauka. Mpaka sasa hajapatikana.
  11. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotumika kuanzisha huduma ya maabara na zahanati binafsi

    Habari wana JF. Naomba mtu mwenye mwongozo wa Wizara ya Afya wa namna ya kuanzisha zahanati binafsi ya afya ani PM tuwasiliane. Asanteni
  12. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA, Edward Lowassa ndani

    List of Shame ya mwembeyanga tunaifuta vipi?
  13. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mtwara anatumiwa na nani kuvuruga uchaguzi kura ya maoni?

    Mimi Si Joel Nanauka, ningekuwa ni yeye, ningejitambulisha rasmi. Maslahi yangu ni kuona taifa la Tanzania linapata viongozi wazuri. Maslahi yangu ni kuona tunaachana na viongozi wababaishaji wanaoishi kwa kutegemea kumkandamiza Mtanzania. Maslahi yangu ni kuona Chama Kikuu cha upinzani...
  14. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Mtwara anatumiwa na nani kuvuruga uchaguzi kura ya maoni?

    Kinachoendelea kwenye mchakato wa kura ya maoni ndani ya CHADEMA Mtwara Mjini kinatakiwa kuangalia kwa jicho la umakini a viongozi ngazi za juu za chama, kama kweli CHADEMA wanataka kushinda kiti hicho Octoba 2015 Jana ilipangwa kufanyika uchaguzi wa kura ya maoni ambapo wagombea ni kama...
  15. Mponjoli

    JamiiForums Tanzania GE2015 Joel Nanauka: Nyota mpya iliyoibuliwa na CHADEMA Mtwara

    Joel Nanauka akikamilisha ujazaji wa fomu chini ya uangalizi wa Mwanasheria wake Joel Nanauka akikabidhi fomu kwa katibu wa CHADEMA wilaya
Back
Top Bottom