Recent content by Mpini Wa Chuma

  1. Mpini Wa Chuma

    Ushauri: Rais Samia apumzike Urais 2025

    Umemaliza anaeweza kusikia na aelewe ...ccm ni mafala Sana bado 25 yataleta huyu huyu halafu tunarudi square one 10 years nothing done. Muda hauchezewi heshimu muda limeshakua taifa la hovyo Sana hili
  2. Mpini Wa Chuma

    Njoo upime IQ yako hapa: Je, huyu mtu kajiua au kauawa?

    Kauwawa hio sturi imenguka kulia badala ya mbele no rahis mtu kifikiria kuibutua stuli mbele kuliko side ways...may thoughts
  3. Mpini Wa Chuma

    Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

    Ndio maana hili ni taifa lililofeli tunawaza raisi 25? Akifa? Kwann hatuwazi maendeleo na mifumo imara ili yeyote aongoze?
  4. Mpini Wa Chuma

    God is the master planner of our lives

    Unajua maana ya kiranga?
  5. Mpini Wa Chuma

    Taja sifa ya mwanamke mwenye kipini puani

    Sasa mbona mke wangu anacho ..heee
  6. Mpini Wa Chuma

    Kwa hali hii, Mmarekani hana mpinzani wadau: jiandaeni tu kuolewa!

    Kama gadafi aliruka nao muda mrefu tuu hata putini anaweza kuwavuruga kwanza Ana ardhi kubwa yeye anachofanya ni kuachia manyuklia iwe Vita ya hayo madude wafe wote
  7. Mpini Wa Chuma

    Namanage Account za Forex

    Mimi namage trades kuanzia $200 return ya $150 per month
  8. Mpini Wa Chuma

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Is it necessary? Who is she aende tuu arsenal club kubwa London
  9. Mpini Wa Chuma

    Kuelekea 2025: Hawa wafuatao bora niharibu kura yangu kuliko kuwachagua

    Ccm wangejitambua tusingekua tunateseka hivi watu hawawezi kua mbadala wa maisha yetu kwanini tusitengeneze mifumo imara kupitia katiba? Yaan tukubaliane kiongozi akila rushwa au ufisadi kunyongwa siku ya kazi jumatatu asubuhi mbele ya bunge pale dodoma huku tukio likiwa live tbc..lakin Hawa wa...
  10. Mpini Wa Chuma

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mwenye clip ambayo arteta anafoka aipost Kuna kitu nataka nimsome
  11. Mpini Wa Chuma

    SoC02 Nilivyobuni kifaa cha kutatua changamoto ya malipo ya bili za Umeme kwa wapangaji

    Nimesoma lakin Sijaelewa kiswahili Hicho ni kigumu Sana ila ni jambo zuri kwa nilichokielewa kidgo angalau big up
  12. Mpini Wa Chuma

    Mambo 10 yaliyofanyika katika Wizara ya Elimu ndani ya muda mfupi

    Kwakweli hatutakaa tutoboe Kama nchi licha ya rasilimali tulizonazo lowasa alisema Elimu Elimu Elimu wale amabao hawajasoma na hawajui maana ya Elimu kina msukuma wakasema kazeeka vibaya amejinyea....kijani ndio tatizo lenyewe ambao hawana Elimu ndio wako kwenye usukani wa Mambo nyeti
  13. Mpini Wa Chuma

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hivi academy zetu zinautaratibu tofauti naona Manager ni Per lakin Kuna makocha wawili Jack na Helmer Sasa wanasimama touchline nifanunulieni apo alafu pia tunaongoza ligi baada ya mechi tano tumeanza vizur aseee
Back
Top Bottom