Recent content by Mpingapumba

  1. Mpingapumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwa na msichana mzuri nina tatizo gani?

    Gain from this
  2. Mpingapumba

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwl. Nyerere ilishafuta ndoto za kisiasa za Edward Lowassa!

    Alafu nilazima ieleweke kwamba Nyerere alikua ni mwanasiasa na sio mtabiri sasa hayo mambo ya kusema alisema-alisema hatuyataki tena kwasababu hata yeye alifanya vitu vingi (ujamaa e.t.c) akiamini vitafanikiwa lakini mwishowe failure kama angekua anamaona angeliona mapema, kwa upande wa pili...
  3. Mpingapumba

    JamiiForums Tanzania Usahihishaji wa Somo la History, nashindwa kuelewa

    Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano ninaejishughulisha na mchepuo wa HGL. Kwa kawaida geography huwa ninascore 60-90, english 60-85 wakati historia huwa ninascore 67 kushuka chini mpaka leo nimescore 30%. Kkila mwalimu anaekuja anakuja na msimamo yake katika usahihishaji(no uniformity) ambapo...
  4. Mpingapumba

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu somo la historia

    Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano mwenye uwezo wa wastani, HGL ndio mchepuo ninaojishughulisha nao. Kwa upande wa geography huwa nina score 60-90 na english 60-85. Historia kwa mazoea huwa ninascore 67 kushuka chini leo nimescore 30%
  5. Mpingapumba

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujutia shahada uliyosomea? Njoo tushauriane!

    Tupe siri yako na sisi wakusoma tujazie yetu then na sisi tusijute
  6. Mpingapumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wamewazidi wanaume kwa mambo haya?

    Duh! Wewe sio bure mkuu kunanamna hapa
  7. Mpingapumba

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara za 'flyovers' Dar kuanza Septemba 2014

    kabisa yani
  8. Mpingapumba

    JamiiForums Tanzania Rick Ross Amdiss Chris Rock Katika Tukio La BET Awards

    Amezee tu coz akijibu litakua janga lingine
  9. Mpingapumba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Stori: Uko wapi rafiki? Kuna cha kujifunza hapa?

    Kiukwel hata kusoma sijasoma na ndo naondoka hv
  10. Mpingapumba

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi na CUF, jihadharini sana na hizi hadithi za Tanzania Daima

    Siasa ya Tanzania inapotea kimaana ,propaganda tu kila mtu anavutia kwake "HASWA CHADEMA" By Me
  11. Mpingapumba

    JamiiForums Tanzania Ipi ni kazi bora na yenye maslahi tofauti na sheria katika mchepuo wa HKL

    Inaonekana hujui unacho kimaanisha mkubwa kwasababu hakuna mtu asiye penda ajira vinginevyo awe na uwezo wa kujiajir kak
  12. Mpingapumba

    JamiiForums Tanzania Ipi ni kazi bora na yenye maslahi tofauti na sheria katika mchepuo wa HKL

    Najua ninachokihitaji kak ila nawasiwasi nacho kwa kiasi kikubwa kutokana na mazingira ya nchi yetu kwahiyo kuomba ushauri ni kwa lengo la kupata kazi yenye aman na furaha
Back
Top Bottom