Ndio wakali wa masomo ya kumeza!
Wanaongea kwa wastani more words in a day than men!
Wako makini barabarani kuliko wanaume!
Wanazaliwa na akili wkt kwa wanaume akili huja ukubwani!
Wao ndio wanaoongea lugha sanifu kuliko men!
Kumbe nawe unavaa pedi?
HC au OB??
usisafirie nyota ya mwenzio...
Na wewe kaanzishe uzi wako
Wana chupi nying kuliko wanaume
Ndio wakali wa masomo ya kumeza!
Wanaongea kwa wastani more words in a day than men!
Wako makini barabarani kuliko wanaume!
Wanazaliwa na akili wkt kwa wanaume akili huja ukubwani!
Wao ndio wanaoongea lugha sanifu kuliko men!
Nahisi kuna vipengele vinaelekea kubadilika, kuna wanaume wanapendeza siku hizi wanawake tupa kule! Wanabadilisha nguo na kuoga zaidi ya wanawake, unamjua Ben Kinyaiya wewe? Kuna yule mwanamitindo kijana hivi Mwarabu sijui Mhindi jina lake limenitoka, hao ni mfano tu bado mitaani tunakoishi nao
so far no 9 ndio ukweli mtupu
mmh hii hapana..papuchi hazina uwezo huo.....si itatoboka jamen
Vioo vingeweza kugoma basi vingewagomea!!!!!
hahahahaha fazapepsi
Mzima??!!