Mfumo wa ununuzi wa TANePS pamoja na changamoto zake, ulikuwa mfumo mwepesi kujisajili na kuutumia. Changamoto zilizoifanya TANePS iondolewe, ni hizo hizo zinaikumba NEST kwa sasa.
Mfano ilikuwa inalalamikiwa kwamba mfumo wa TANePs ulipokuwa na hitilafu za kiufundi, ilipaswa kuitafuta kampuni...
Ingawa hili ni tatizo la kitaifa, lakini Idara ya maji mbeya ni tatizo kubwa.
Wanatesa sana walipaji bili wazuri. Huwa wanapandisha bili taratibu hadi wanafikia sehemu ambayo wanaona wao ndio stable na ajabu wenye malalamimo matumizi ya nyumbani huwa ni yaleyale, lakini bill zinabadirika. Kila...
Hapa hujafikiria kama GT. Uko biased, umemhukumu Mwalimu Jimmy ambaye hajapata na yamkini hatopata nafasi kujitetea. Tatizo kubwa katika hii dunia, mtu atayeanza kuandika au kusema upupu ataaminika zaidi ya yule atakayekuja kujitetea. Najiuliza tu, ni kitu gani ambacho kimekufanya umuamini huyo...
Baada ya Rais Mhe. Samia Suluhu na Waziri wa Fedha Mwigulu kutoa pesa za IMF kwa manunuzi ya vifaa mbalimbali hospitali za mikoa kwa nia ya kuboresha Afya, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya alikasimu mamlaka ya kununua vifaa hivyo kwa baadhi ya taasisi zilizopo chini yake. Lilikuwa wazo jema kabisa...
Mleta maada Opportunity Cost ana hoja nzito ambazo zinajibiwa kikanda na kisiasa. Binafsi naamini kama kungekuwa na umuhimu sana basi hii SGR ingeelekezwa Kigoma na Tunduma. Bahati mbaya huko Tunduma kuna TAZARA shirika la hovyo lililojaa masharti ya kikoloni. Mwisho wa siku, hatukuwa tunahitaji...
Asubuhi hii niko Idodomya. Nilitumwa na daktari wa Hospitali ya rufaa Mbeya kuja kufanya MRI. Alinipa chaguo la kufika Dodoma au Dar es Salaam. Idodomya ni jirani sana kwangu. Ni mwendo wa masaa matatu.
Kinachonihuzunisha sana ni hiki, hivi inakuwaje Hospitali kubwa kama ya Rufaa Mbeya yenye...
Mheshimiwa Samia!
Ninakubaliana na uteuzi wako kwa Mhe. Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Kijana mdogo, mchapakazi, lakini mara nyingi huwa anakuwa moto na kukosa busara, kitu ambacho kwa umri wake bado ana muda mwingi wa kujifunza.
Lakini taarifa zinasema, kwa muda mrefu sana Mkuu wa...
Jana usiku nimefika mjini Mbeya nikafikia maeneo ya Igawilo, leo nilikuwa nina appointment na daktari kwa magonjwa yetu ya uzeeni.
Asubuhi hii nimejihimu stendi ili nipate gari niende mjini. Nimeshangaa sana kuona hakuna daladala. Nimepanda bajaji toka Igawilo hadi Kabwe kwa kutoa 1,500/=...
Mimi si mtumishi wa Afya, lakini mateso anayopata mtoto wa dada wa kunyonya (mtumishi wa afya), yamenifanya nitambue wapi serikali inakosa.
Ni jambo la ajabu sana kuona kuna uharamisho mkubwa wa kusema uwongo miongoni mwa viongozi wakuu wa Serikali hasa Afya. Mtume Muhammad s.a.w.w. amesema...
Mheshimiwa Rais!
Mimi ni mwananchi wa kawaida sana hapa Tanzania. Mimi ni mwanachama mwaminifu wa CCM tokea enzi za siku za mwisho za TANU.
Mheshimiwa Rais, sitopoteza muda wangu kutaja mambo mema mengi uliyowafanyia watanzania, maana nitatumia siku nzima na hivyo barua yangu itakosa maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.