Recent content by mpima mstaafu

  1. M

    Meya wa Iringa ang’olewa madarakani

    Kama itakupendeza ungeelewa kwanza nilichouliza naona umekurupuka sina shida na kuondolewa au kutoondolewa nimeuliza 2/3 ya 26 ni 14? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    Meya wa Iringa ang’olewa madarakani

    Nilikuwa nauliza tu naomba watalaamu wa hesabu mkoani Iringa mnisaidie Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Iringa, baraza la madiwani laitishwa kumng'oa Meya, baada ya mahakama kutupa madai yake kwa kukosea vifungu vya pingamizi lake

    Heri yako wewe uliyesoma una hangaika JF kusifia upumbavu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Waziri wa Afya: Ni marufuku kabisa kutaja majina ya wagonjwa wa Corona, Mwana FA, Sallam na Isabela walijitangaza wenyewe siyo Serikali

    johnthebaptist, Aliyemtangaza mtoto wa mbowe hatua gani zimechukuliwa au yuko juu ya sheria? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Ripoti ya CAG, ufisadi kwenye ubalozi wa Sweden. Je, CAG ameamua kumchafua Dkt. Slaa?

    Kuna Watu wameanzisha Mahakama za Mafisadi ndio wenye jibu bahati nzuri Wateja wao ni Wanachama wao Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Taarifa: Dr Makongoro Mahanga kuzikwa makaburi ya Tabata Segerea tarehe 26 March saa 10 jioni

    Na sumu ya mzee mangula nani achunguzwe Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Maalim Seif: Lowassa amerudi CCM kwa shinikizo la familia na Chadema kutotendea vyema

    Mzee acha porojo kilichomrudisha Lowassa CCM ni Familia yake+Kesi+Mali zake hakuna cha kutendewa Vibaya na Chadema. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Kwanini Mangula ameondolewa Muhimbili kimya kimya?

    Kwani hujamsikia Mbowe akieleza juu ya mtoto wake? Kumbuka kuna tofauti kubwa ya Tatizo la mtoto wa Mbowe na Mzee Mangula,issue ya Mangula inahusisha Vyombo vya dola tumia Akili mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Makonda angetangaza mtu wa CCM ameambukizwa corona, vijana wa ufipa wangesheherekea mwaka mzima

    Bwana jela, Tumia akili wewe kwanini mnaleta siasa kwenye maisha binafsi ya Watu? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Kumbe halikuwa zuio la mikutano ya kisiasa bali ni zuio la mashindano ya kisiasa

    Mkuu bila kuandika uzi hata kama wa kipumbavu hulipwi buku 7 ndio maana wanahaha kuandika hata mambo yasiyo na Tija kwa Taifa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Je, bado inafaa kwa wanasiasa wa upinzani kupima corona ndani ya nchi hii na hasa wabunge wa upinzani kupimwa corona Bungeni kama ilivyotangazwa?

    Bashite acha siasa za maji taka kwenye masuala ya msingi. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    TANZIA Makongoro Mahanga afariki dunia asubuhi ya leo Muhimbili

    Hakika Taifa limempoteza Msomi aliyetoa mchango mkubwa kwa Taifa,Mungu aipokee Roho yake AMEN Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    Meya mpya wa Arusha anapatikana?

    Elius W Ndabila, Hata asipopatika lengo lilikuwa wa Upinzani asiwepo na ndio ilivyo Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    TBC ipeni kipaumbele Corona, nyie muda mwingi ni kampeni - Tumeahidi tumetekeleza

    Mkuu TBC imeona Tunaweza ni muhimu kuliko Corona ndio maana haina habari na Corona Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom