Makonda angetangaza mtu wa CCM ameambukizwa corona, vijana wa ufipa wangesheherekea mwaka mzima

Bwana Jela

Senior Member
Nov 25, 2019
131
655
Wao huombea majanga yawafike CCM tu.

Haya Mungu anawapiga usoni Sasa, Malaika wenu wa CHADEMA kauguliwa mmebaki mmeduwaa mmeona Makonda ndio pa kujificha.

Sipati picha mtoto wa Magufuli Ndio angeugua wangesema kila aina ya Matusi kumtukana Rais.

Ila wanaemwona ni Mungu wao huko chadema wamefikwa na janga.

CHADEMA ni watu wasiojielewa wanataka nini.

Kuna makundi ya vijana yalikuwa yanaomba corona ije Tanzania tena iwadhuru Viongozi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Makonda ni tasa na alienda ku adapt mtoto ila hujawahi kusikia mwanachadema yoyote akimkebehi.
Hasa hasa alikuwa anagombana na kina Msukuma na mzee wa uno
Usiwe na haraka bado korona ipo.
N hakuna anayeipangia. Wewe sali na ombea familia yako mengine muachie Mungu na usimcheke mwenzako
 
Haya ni mawazo ya ajabu sana. Bora kukaa kimya utaonekana muungwana.
 
Wao huombea majanga yawafike Ccm tu

Haya Mungu anawapiga usoni Sasa, Malaika wenu wa chadema kauguliwa mmebaki mmeduwaa mmeona makonda Ndio pa kujificha

Sipati picha mtoto wa Magufuli Ndio angeugua wangesema kila aina ya Matusi kumtukana Rais

Ila wanaemwona ni Mungu wao huko chadema wamefikwa na janga

Chadema ni watu wasiojielewa wanataka nini

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni hivi Watanzania wengi sana wana magonjwa mbadala ambayo corona ikijimiksi utaona wadau watavyopukutika!

Wazee, wenye visukari, presha, pumu, kansa na mengineo hao wote haiwaachii salama! Ikupita nao inawalaza mazima!

Sasa tukianza kushabikia kivyama, nadhani kambi yenu inaongoza kwenda India kutibiwa na sasa muende kutibiwa corona!

Mengine kwa sasa mjifunze kunyamaza, hili janga letu sote Watanzania! Ushasikia hata Zimbabwe wameingiza uchama kwenye hili?
 
Kwa hiyo umeamka asubuhi kuandika thread ya kijinga hivi? huu ni ugonjwa hatari inawezekana hapo ulipo unao. Halafu ulichoandika huwa tunakiita impossible sentence. Mfano - if i were a bird i would fly.
 
Wao huombea majanga yawafike Ccm tu

Haya Mungu anawapiga usoni Sasa, Malaika wenu wa chadema kauguliwa mmebaki mmeduwaa mmeona makonda Ndio pa kujificha

Sipati picha mtoto wa Magufuli Ndio angeugua wangesema kila aina ya Matusi kumtukana Rais

Ila wanaemwona ni Mungu wao huko chadema wamefikwa na janga

Chadema ni watu wasiojielewa wanataka nini

Sent using Jamii Forums mobile app

Upeo wako mdogo sana, tunaombea watoto wako wasifuate akili zako
 
Makonda angetangaza mtu wa Ccm ameambukizwa corona, vijana wa ufipa wangesheherekea mwaka mzima
Mimi hata sijaenda mbali, nimeiangalia title yake na kutaka mleta uzi anifafanulie haya:
i) Makonda ndiye mwenye jukumu la kutangaza wagonjwa jijini au nchini?
ii) Kama ndiye mwenye jukumu, hao wagonjwa hutangazwa kwa kutaja pia vyama vyao vya siasa?

 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom