Waziri wa Afya: Ni marufuku kabisa kutaja majina ya wagonjwa wa Corona, Mwana FA, Sallam na Isabela walijitangaza wenyewe siyo Serikali

Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
4,281
2,000
Ummy asihangaike na Makonda, aanze na Daktari aliyempelekea Makonda taarifa za mtoto wa Mbowe. Wakati mwingine si vema kusumbuka na Spika, hangaika na radio.
Kwa nafasi yake anaweza kuwa na access ya kujua wagonjwa ni kina nani na wanahudumiwaje ili wasisambaze!Sasa shida inakuja pale kiongozi anapokuwa hana utimamu yaani mpuuzi ndio tunaona haya!
 

FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
18,845
2,000
Jamaa shipa la aibu lishakatikaga...hili ni dongo...!! Ni aibu !!

Safi dada Ummy kwa kuweka sawa!!
 

Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,486
2,000
Watu wawili nchini Afrika Kusini wamefunguliwa shtaka la kujaribu kuua baada ya kukaidi maagizo ya serikali kuhusu #COVIDー19. Watu hao wenye maambukizi waligoma kukaa karantini huku wa kwanza ambaye ni mtalii akitoroka, na wa pili mmiliki wa saluni akiendelea kuhudumia wateja. Swahili Times on Twitter

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom