Recent content by Mpili_600

  1. Mpili_600

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali tata kutoka kwa wanaume wenzangu

    😁Amin maswali haya m nayaona ya kijinga jinga
  2. Mpili_600

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuacha punyeto

    🤣Washaur mnapenda sana kurahisisha viatu hy c rahisi kama unavyofkir
  3. Mpili_600

    JamiiForums Tanzania Nyinyi mnaokula mchana kipindi hiki ni akina nani? Mnatukera bwana

    Kikubw fata tamaduni za dini kushnei hakuna uislam na ukristo pekee Kuna hadi umasai na dini zingne za asili
  4. Mpili_600

    JamiiForums Tanzania Nani aliasisi Vikundi vya Kusifu na Kuabudu kwenye Vyama vya Siasa?

    Mi wananikera wasanii jinsi wanavotumika na politicians 🥴
  5. Mpili_600

    JamiiForums Tanzania Ni nini kitakuwa sahihi zaidi mm kusomea?

    Nenda chuo
  6. Mpili_600

    JamiiForums Tanzania Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

    Tena kama Hilo Nigeria ndo taira kbs yeye ni miongon mwa wenye hifadhi kubwa za mafuta Duniani na mfichaji mkubwa ety anaagiza🥶
  7. Mpili_600

    JamiiForums Tanzania Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

    Wa2 weuc 2na utoto unaoitwa utengano na ndo zimwi inayoendelea kututafuna miaka na miaka.... Tumejaa lawama, ubinasi, chuki ujinga mtupu
  8. Mpili_600

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA vinaandaliwa wapi? Watanzania tumeshindwa na hili?

    Swadaktaaaa..........ila kwa akili finyu za baadhi ya watu watakuja napo kusema nida kauziwa mchina
  9. Mpili_600

    JamiiForums Tanzania Vitambulisho vya NIDA vinaandaliwa wapi? Watanzania tumeshindwa na hili?

    Ni aibu sana kwa taifa ambalo linazalisha wataalam katika sekta mbalimbali lakin washindwe kwenye vitambulisho!!!!!!
  10. Mpili_600

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Lazima ujue wazi kuwa mapenzi yanatokana na fikraaa tuu so stop thinking about him angalia sana familia yako na mumeo ndiyo wako wa maisha keep it up huyo kijana asikuharibie future of your family
  11. Mpili_600

    JamiiForums Tanzania Urusi yapunguza kiasi cha kesi kwenda EU wakati majira ya baridi yanaribia

    Russia anachangia 40% ya gesi yote ulaya nadhan Hilo lafahamika,mpango wa Eu kusaka gesi kwingineko utawachukua takribano miaka hata mi3 na zaidi hivyo lazima wawe wapoleeeeee kwa mrusi
  12. Mpili_600

    JamiiForums Tanzania Urusi yapunguza kiasi cha kesi kwenda EU wakati majira ya baridi yanaribia

    Mwenzako US anotea Moto kwa mbaliiiii huku wao wakitegemea kuumia na kiufup EU haina uwezo wa kujiendesha pasipo uwepo wa urusi
Back
Top Bottom