Mimi kijana wa miaka 33 na handsome wa ukweli kutoka na nilivyo navutiwa na wadada wengi sana, ila nimeamua kuwa na mdada mmoja wa kupeana naye raha ya dunia. Sifa zangu mie nimfanyakazi wa sirikali, ni mpenda Mungu, mjasiriamali. Mwenye kupenda kwa sifa hizi na ana sifa hizo chini inbox, mambo...