Recent content by Mpiganji mashuhuri

  1. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania Waraka: Mambo ya hovyo yanayofanywa na serikali, viongozi wa dini mko wapi?

    Padri mapunda unamsikia?
  2. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania Namuona Nape mpya kwenye gwanda

    Aje kuvaa gwanda
  3. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania Sasa siyo siri tena ni Vita vya Magufuli na Makonda dhidi ya Mawaziri wa CCM!

    Hata Farao alipewa moyo mgumu ili waisrael wapate ukombozi
  4. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Rashid Madabida na Sophia Simba: Je, wamefanya aliyofanya msaliti Alexandar Tobias?

    Hii ni harakati za chuki ubabe na muendelezo wa visasi kwa mtukufu huyu,kwani mchakato wa kumpata raisi hata kikwete alikuwa na jina lake mfukoni sasa wamemfanya nini ni unafiki tu na mtakatifu huyu kujifanya ya kwamba yupo karibu na familia ya kikwete akilenga uchaguzi 2020,waweze kumpa...
  5. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania ITV mmewakosea sana watanzania

    Kwa taarfa yako hata redio one magazetini pamoja na kulisoma gazeti la Tanzania daima hawjagusa kabisa taarifa hiyo
  6. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Wewe usituhamishe mada kwa madawa ya kulevya mkurugenzei wake kateuliwa na anaendelea na majukumu yake hapa ni BASHITE tu aonyeshe vyeti baasi ndo kazi tu
  7. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kutua Tanzania usiku huu

    Katibu mkuu wa umoja wa mataifa Antonnio Guterees yupo nchini lakini mkuu wa nchi huyoo Dodoma anamwachia waziri wa mambo ya nje aongee naye.Jana nilimuona Uhuru kenyatta wako naye beneti wakwetu anamuona siyo wa muhimu.
  8. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania Historia ya Paul Makonda iwasisimue Vijana

    Hapa vyeti tu msituhamishe kwenye mada ng'ombe aliye katwa mkia akirudi zizini wenzie watamjua tu.
  9. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania Ule utaratibu wa kutangaza makusanyo kila mwisho wa mwezi uliishia wapi?

    Bado wanashughulika na viroba watatangaza baadaye
  10. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima: Daudi Albert Bashite alipata division Zero

    Unamtetea Daudi Bashite mwambie alete vyeti mbona kazi ndogo sana
  11. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Manyoni azuia rotation ya wauguzi wa hospitali ya Manyoni

    Katika hali ya kushangaza na kiburi cha madaraka mkurugenzi halmashauri ya wilaya ya manyoni kazuia mzunguko wawatumishi kufanya zamu zao na kuhama idara wanazofanya kazi kwa muda mrefu ili kuboresha huduma hiyo hapa wilayani manyoni.Murugenzi huyo niwa ajabu sana kwani kila siku anaibuka...
  12. Mpiganji mashuhuri

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Hivi ninyi watanzania sijui mkoje tu.Wewe fisemu ni ile ile hakuna jipya huyo mama hata akienda tu kusinzia hakuna atakaye muuliza.Hivyo basi ameona 2020 atakosa walau wakumukaribisha kwenye kampeni na usitegemee ridhiwani atahojiwa kashfa madawa ya kulevya hiyo ndo imetoka
Back
Top Bottom