Ule utaratibu wa kutangaza makusanyo kila mwisho wa mwezi uliishia wapi?

Usa-River

JF-Expert Member
Sep 11, 2016
979
1,979
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni kufahamishwa. Walianza kwa kasi sana ila sijui nini kimewapata hatusikii tena yake "matrilion" yaliyokuwa yakikusanywa kila mwisho wa mwezi.
 
Acha kutuondoa kwenye ishu ya vyeti ya mkuu wetu pendwa wa mkoa wa dar
 
Mkuu ule utaratibu wa kutangaza mapato ilibidi usimame sababu ndg zetu wa TRA walikuwa wanavuka malengo ya kila mwezi..

Kila mwezi ni Ma Trilioni...

Sasa ivi watakuwa wanakusanya Ma Trilioni mengi tu.

Na ndio maana unaona ujenzi wa Viwanda ukiendelea kwa kasi ya ajabu.
 
taarifa za kiintelijensia zilitujia kua kuna mipango ya wizi mkubwa wa kodi....ndio maana tumeacha kutangaza
 
bora waache tu maana hata bajeti ya taifa imewashinda kutekeleza...........
 
Saivi matririoni yagrupiwa pamoja
IMG-20170220-WA0000.jpg
 
Back
Top Bottom