Recent content by MPHINGU

  1. MPHINGU

    Covid 19 (Corona Virus) kwa hapa Africa is over rated

    Mkuu tumekupata, shukran kwa kutuondoa hofu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. MPHINGU

    Weka utabiri wako Yanga Vs Simba

    Simba 1 Yanga 0 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. MPHINGU

    Kufukuzwa Membe CCM: Hakika siasa ni Mchezo kama ilivyo Karata na Draft

    MgumuNgara, Hao wote uliowataja hakuna alieanzisha vuguvugu ndani ya CCM ikafikia atuhumiwe kuwa NI msaliti na kuitwa kwenye kamati ya maadili akahojiwa na mwisho kufukuzwa uwanachama wa CCM. kwa hiyo unavohisi, sio vitavokua Sent using Jamii Forums mobile app
  4. MPHINGU

    Unabii wangu umetimia juu ya Mwamposa

    Mimi sipendi kulizugumzia ya kutimia UTABIRI WAKO Ila mtindo huu waliouazisha JAMII FORUM wakufutafuta THREADS za wanachama bila sababu au kwa kujipendekeza na kudhihirisha uwoga wao, bila Shaka utasababisha mtandao huu kuhamwa na wanachama Sent using Jamii Forums mobile app
  5. MPHINGU

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    Ndugu Pascal Mayala kiukweli wewe kuja na maoni Kama hayo sishangai, inawezekana Bwana Makonda ni wa KUNYUMBA, hata mimi ingekua aliefanyiwa ni MZARAMO mwenzangu ningekuja na kauli Kama ya kwako pila kujali sababu Pompeo iliyo mfanya amwekee ziwiyo Kama Hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. MPHINGU

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    Ndoto ya adhuhuri saa saba mchana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. MPHINGU

    Zuio la Watanzania kwenda Ng’ambo: Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani

    Amini au usiamini! Tamko la Pompeo aliloliweka masaa 18 yaliopita kwnye account yake ya TWITTER limepata Reply 1179. Retweet : 2032. Like : 6703 na baado watu wanaendele kuchangia huko TWITTER Sent using Jamii Forums mobile app
  8. MPHINGU

    Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    Thanks, kwa kuniweka sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. MPHINGU

    Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    Kasimu Mganga: MZIGUA Sent using Jamii Forums mobile app
  10. MPHINGU

    Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    Mkuu maana ya nasaba unaijua? Sent using Jamii Forums mobile app
  11. MPHINGU

    Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    Hii NI ngumu kwangu kuielewa! Toa tafsiri nyepesi ili uweze kueleweka. Kwa kukusaidia sema: mtu kabila anachukua kwa baba yake au kwa mamaake. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. MPHINGU

    Funzo kwa Tanzania: Shirika la ndege la South Africa limefilisika

    Haija tokea au kuzugumzwa Kuna shirika la ndege hapa duniani limeingiza faida kiasi Fulani, Ila mashirika ya ndege yanayo pata tija(faida) yanabaki kimya tu au kinacho sifiwa NI huduma nzuri tu sio faida Sent using Jamii Forums mobile app
  13. MPHINGU

    Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    LIKUD, Huyo Rashid Abdalla Makwilo a.k.a CHIDY BENZ, babaake NI Mzigua (Makwilo jina la kizigua) na mama Mhehe, lakini anajinasibisha na UHEHE hataki kuitwa Mzigua, anadai kuwa yeye ni Mhehe mnyalukolo. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. MPHINGU

    Makabila ya wasanii na watu maarufu wa Bongo

    LIKUD, Nay Wamitego: Baba Mnyachusa mama Mchaga Sent using Jamii Forums mobile app
  15. MPHINGU

    The hijacking of the Kaabah-1979

    Yaani katabiri ujio wa yesu mara ya pili Kama MASIH(MASIA)anae subiriwa Hilo nadhani hata wa Kristi ujio huo wanauamini na kuusubiria Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom