Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Wiki iliyopita baada ya kutokea tukio la kusikitisha la vifo vya watu takribani 20, nilitoa utabiri juu ya hili tukio lakini cha kusikitisha uzi wangu ulifutwa na hawa wafanyakazi wa "Where we dare to talk openly".
Nilisema tukio hili na lile la MV Nyerere ni matukio pacha...yote yamefanywa kwa makusudi na sio bahati mbaya kama wao wasemavyo.
Leo, huyu anayejiita Nabii anadunda mtaani, na wale waliohusika na MV. Nyerere wanadunda mtaani siku za mwanzoni tuliona wakifunguliwa mashitaka.
Hii nchi haina usawa, ni unafiki kwenda mbele. Kila MTU anaangalia masilahi yake.
Zile damu zitalipwa siku moja.
#KingNebu.
Sent using Jamii Forums mobile app