Recent content by mpetuchi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: Namsubiri Mbowe Mahakamani

    bora amuache maana akienda mahakamani lazima amboweke tu chezea zito weweeeee
  2. M

    JamiiForums Tanzania Confusing

    Tatunne hizo mbona vele simpo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Treni zinapokutana.

    Hapo ndipo unapoanza kugundua umuhimu wa maisha weeee
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli kizungu ni kizunguzungu? khaaaaaa

    Huyo sindio tozi wa kijijini
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kama bei ya umeme imekukera hebu chukua ujanja hapa tuwakomoe Tanesco

    wa kusoma vipi umerudi masomoni tena maana maujanja hayapo
  6. M

    JamiiForums Tanzania MAAJABU: Mzee mmoja ajitayarishia kaburi na taratibu za mazishi yake

    Kafanya jambo la msingi sana,big up kwake
  7. M

    JamiiForums Tanzania alinikimbia na pesa zangu,amerudi tena!

    Mpe halafu muambie dunia ni kama kijiji ila usimkopeshe kabsaa maana mawazo ya kurudishiwa yatakuumiza
  8. M

    JamiiForums Tanzania Balozi aibiwa simu Ikulu kwenye dhifa ya kitaifa ya sherehe za Mapinduzi

    Pole yake kakaribishwa tz,ila watz ni hatari zaidi ya neno lenyewe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta Waziri wa Mambo ya Ndani?Kiama cha Drug Lords kimefika!!!!

    haina shida mkuu,sasa kwa mtazamo wangu hawa jamaa wamejificha migongoni mwa watu hivyo hata akipewa nafasi hawezi kuitumia ipasavyo kwa ama anahusika au jamaa zake wa karibu wanahusika,so suala hili bado kwake ni gumu kupambana nalo,btw let's wait and see kama atapewa hiyo nafasi
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii kasi ya Nyalandu imetokea wapi?

    Anajipigia debe kiana,hana lolote mbwa mwitu tu huyo
  11. M

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta Waziri wa Mambo ya Ndani?Kiama cha Drug Lords kimefika!!!!

    mkuu umemaanisha minister of domestic affairs au minister of home affairs,tuanzie hapa kwanza
  12. M

    JamiiForums Tanzania Zanzibar wametoa wapi pesa za kununua hiki Kifaru?

    Kweli baadhi ya watz wanahitaji elimu kwa kina juu ya muungano.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye tatizo katika nchi ya Tanzania na sio Ngeleja, Mkulo wala Maige

    Hakuna lenye mwanzo likakosa kuwa na mwisho
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi huu utakoma lini?

    Ubaguzi sawa na rushwa haviwezi kuisha bali kupungua tu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Huwezi amini; huyu jamaa hajaoga wala kugusa maji kwa miaka 60

    Inamaaa hajawahi hata kunyeshewa na mvua kwa miaka yote hiyo
Back
Top Bottom