gatty mwita
New Member
- Jan 2, 2014
- 2
- 3
Mi simo.
tunasubiri maujuzi mkuuNitaanza kutoa ujuzi na ujanja namna ya kuchakachua umeme kwenye aina zote za mita.
Stay tuned nakuandalia ujuzi.
Pamoja tuwakomoe tanesco
Huu si ndo Ufisadi?
wa kusoma vipi umerudi masomoni tena maana maujanja hayapoNitaanza kutoa ujuzi na ujanja namna ya kuchakachua umeme kwenye aina zote za mita.
Stay tuned nakuandalia ujuzi.
Pamoja tuwakomoe tanesco