Kwa kuchangia kidogo hapo, mi nafikili hakuna ubaya kwenye hilo, kilicho muhimu kwetu ni kutengeneza filamu zenye ubora wa hali ya juu ili tuweze kupata kipato ambacho kitatufanya tuweze kushindana na hao wa mbele. Na nafikiri hiyo ndiyo sababu kubwa ya kuzuia filamu za mbele zisiingie kwa wingi...
Nakushauri ujifunze kupitia youtube hakuna chuo cha 3d animation hapa bongo labda vyuo vya graphics design. If you need more details call me via 0717238773
Yah ni wazo zuri sana kwani mi nina group la VFX kwenye facebook na pia ingekuwa vizuri na huku tufanye hivyo kama unavyosema hakuna ubaya ni tunaelimishana tu. Tupo pamoja sana lengo ni kuelimishana. Tengeneza hilo group kisha niunge fresh.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.