Recent content by mpepalilambo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Hivi vibaraka (traitors) wa mabeberu wapewe adhabu gani?

    Adhabu ya traitor ni kifo. Kushirikiana na beberu kuhujumu maslahi ya nchi ndo uzwazwa. Unazungumzia historia? Kila kosa na adhabu yake na huwezi kujitetea kwa makosa ya wengine. Afu unajiita akili kubwa. Takataka kabisa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi vibaraka (traitors) wa mabeberu wapewe adhabu gani?

    Nimetagakari sana, suala la baadhi ya wanasiasa kuendelea kuwa vibaraka wa makampuni ya kibeberu yenye nia mbaya ya kuharibu uchumi wetu kwa kutuuzia huduma na bidhaa substandard. Yet mtanzania ndiyo anakuwa wa kwanza kutoa mbinu na miongozo ya kuihujumu nchi yake. Zamani nilikuwa naelezwa na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Sukari Tsh 4000 watu kimyaaa

  4. M

    JamiiForums Tanzania Sukari Tsh 4000 watu kimyaaa

    Hiyo bei mkoa gani? Tukusaidie. Be serious
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sukari Tsh 4000 watu kimyaaa

  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

    Huyo jasusi mzoefu. Ila mpaka ajitangaze?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)

    Huyo Dr. Ni jasusi mzoefu. TISS watu hawaijui vizuri
  8. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni binadamu, dalili za kuchoka tayari zipo wazi

    Hangover za uchaguzi hadi unashindwa kufanya analysis bobezi. Ahhhhhhh wewe ndo umechoka lakini jembe ndo kwanza anapasha tu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania An open letter to President Magufuli

    Wanaotoa mawazo mbadala kama haya ndo wanaitwa great thinkers. Wanaojibu hoja hiyo kwa hoja za kuboresha nao ni wajenga nchi. Bila shaka umesikika.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Magufuli ameanza kunichosha kabisa

    Ukawa wameishiwa agenda. Kama ya ufisadi wao ndo wanaufuga na kuutetea. Kama wqsipokuja na agenda timamu chadema itakuwa kama Dp tu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Mbutura au mbudula? Uchambuzi hafifu usio na facts bali hisia ghafi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Watz wanapenda rongo rongo. Hiyo ya majaliwa nimsg tosha kwa wazembe. Bana juu chini watabanana wenyewe.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada : Nini kazi ya usalama wa Taifa TISS?

    Tiss=presidency
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli acha kumdhalilisha Kikwete

    Malofwa. Hii kasi inadaidia kuondoa uoza wa siku nyingi. Tujiandae kisaikolojia.
Back
Top Bottom