mpepalilambo
Senior Member
- Jun 27, 2012
- 194
- 40
Nimetagakari sana, suala la baadhi ya wanasiasa kuendelea kuwa vibaraka wa makampuni ya kibeberu yenye nia mbaya ya kuharibu uchumi wetu kwa kutuuzia huduma na bidhaa substandard. Yet mtanzania ndiyo anakuwa wa kwanza kutoa mbinu na miongozo ya kuihujumu nchi yake. Zamani nilikuwa naelezwa na wazazi wangu kuwa, nduguyo ukimkuta anagombana na adui cha kwanza ni kuhakikisha unamsaidia kutoka kwenye ugomvi huo na maswala mengine ni baadae hata kama nduguyo ndo mwenye makosa. Sasa iweje mwanasiasa awe traitor na afumbiwe macho?
Mimi kwa mtazamo wangu Tundu Lisu ni traitor na kibaraka wa mabeberu. Hafai na adhabu ya traitor inajulikana. Naishauri serikali isimkawize ichukue hatua kali zinazoendana na usaliti aliouonyesha kwa nchi. Siasa haziwezi kutupeleka mpaka kwenye usaliti na kuwa vibaraka uchwara na kuigharimu nchi. Huyu angekuwa Kenya hakika mnajua wangemfanya nini.