Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
Mkuu Bavaria,
Hilo wazo ni muhimu sana. Mara nyingi, wafanyabiashara wanaonekana kama adui wa maendeleo. They are guilty until proven innocent. Wawekezaji wa nje wanasaidiwa kwa kila kitu, lakini wa nyumbani wanadharauliwa. TRA wanasumbua sana wafanyabiashara WOTE, hata kama ni mlipa kodi wa kweli.
Wasijue kuwa wafanyabiashara ndogo wengi ndio watakuwa wachangiaji wakuu wa pato la taifa na kutoa ajira nyingi.