Nyinyi hamjamjibu mleta mada. Ni hivi kaka gari zote ulizotaja ni imara sana,ila Suzuki escudo ndiyo zaidi either upate manual au automatic gear. Nazo zipo za aina nyingi kana JLX, HELLYHENSEN nk. Hiyo nyeupe ni suzuki grand vitara ambazo ni za kisasa alafu ni mayai sana.Mimi ninayakwangu ni...
Wewe umenena yale ambayo wanasiasa wa nchi nyingi wafanyavyo basda kuchafua hali ya amani. Na huo ndio ukweli wa mambo. Huwa nasema watanganyika bado hawajachoshwa na hawa wanasiasa wanafiki tena wazandiki kama hawa wa hapa kwetu, iwe ni chama tawala au pinzani. Siku ikitokea wamechoka basi...
Habari zenu ndugu wanajamvi, mada yangu hii ya leo inatokana na matembezi yangu siku ya jana katika kutafuta mkate wa kila siku. Nikaingia benk ya nmb pale kariakoo kupeleka kacheck kangu, sasa baada yakufanya taratibu zote za kudeposit yule kijana alinihudumia akaniandikia nambayake ya simu ili...
Brother nkunda , hii oparesheni inayoendelea sasa ni sawa tu zinazofanyika nchi nyingine duniani kama israel,SA nk. Watanzania tumechoka kuishi na watu ambao hawastaili kuwa ndani ya ardhi yetu, kwani serikali yetu inapanga huduma kwa ajili ya watuwake sasa hawa ambao hawajaingia kihali afu...
Hodi wana jf ni muda mrefu nimekuwa nikifuatilia thread za watu mbalimbali na kuvutiwa sana. Leo nimeamua kukata shauri ili na mimi niwe niweze kuwa mchangiaji pia hata kuleta mada ambazo zitawajenga na wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.