MPENZI JINI
Member
- Sep 11, 2013
- 12
- 3
Mpiganaji mzuri huwa hana papara, yeye ni kimyakimya hadi anamshinda adui. Iga mbinu za buibui. Napita tu wataalamu watanena kukusaidia.
daaah jf kuna mijitu mimbea!!!!!Hivi alishaachana na yule jamaa wa WALL STREET?
then ha date na Millard,ni mali ya Dimpoz hiyo(wanafanya siri sana).
daaah jf kuna mijitu mimbea!!!!!
Amejaa tele clouds media mikocheni,we nenda tu siku yoyote sa 7 mchana wanakuwa kanteen.
then ha date na Millard,ni mali ya Dimpoz hiyo(wanafanya siri sana).
na kasoro zake kimaumbile ni kafupi afu kanaumbo la kitoto toto,analefushwa tu na pic.
Mh wewe ndo huyo vannesa nini? Manake hata yanayofanywa kwa siri sana unayajua! Au unamshikiaga mguu wakat ana michwa?
btw hivi kama mtu si mke na mume wala hawako kama bf na gf unatumia kigezo gan kujua kama hao watu wanafanyana?
ingekuwa Heaven on earth ndo Vanesa Mdee angenishanipa hints...huyo lazymate wangu...tuna masehemu yetu huwa tunakutana
who is Millard Ayo mpaka Vanessa Asigegedwe na mwanaume mwingine?
ili mradi hakuna pete kidoleni, i still have a chance
ingekuwa Heaven on earth ndo Vanesa Mdee angenishanipa hints...huyo lazymate wangu...tuna masehemu yetu huwa tunakutana
hapo umechanganya jangwa na dunia mkuu!
ila swali langu linabaki, kama mahusiano ni ya siri ameyafahamu vip kama sio muhusika? Hakuna uhakika wala ushahid wa kuthibitisha zaid ya kusema ni SIRI! heaven on desert
hahaaa naomba umwambie kalou huyo aliomrefer ni watu wawili tofauti bana............
watu wamefanya siriiiiiiii sana swali yeye kajuaje!!!!!!!!!!!!!!!!!