Recent content by mpenda kupenda

  1. M

    JamiiForums Tanzania Siku yako ya leo umefanya nini?

    Nini cha maana ulichofanya Leo? Nini la maana umejifunza Leo?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Gwajima; tunaomba msaada wa kuwaombea wagonjwa waliothibitika kuwa na COVID-19

    udhaifu Wa muafrika. yaani jua kuwa baina yako na mola wako hamna pazia. omba mwenyewe. sio lazima awe gwajima Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Waathirika wa Corona (COVID-19) wafikia 49 kutoka 32

    ingawa majina hayatajwi ingependenza kama mngesema wagonjwa sehemu walio tokea hapa mjini dar Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isikubali kutangaza “total lockdown” au Karantini. Wanaoishawishi ama hawajui wanachokishauri au ni wabinafsi

    Wa tz bado wana kujifunza mengi ya ugonjwa huu.. siwezi hata kufikiria athari yake kiakili Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nahisi nina corona

    ndugu wakati upo hapo nyumbani chrmsha maji kiasi lira mbili .weka kwenye ndoo .jifunike vuta mbune kwa pua .mpaka unasikia uneingia ndani. vuta kwa ndomo mpaka kwenye mapafu..kamwa kwa dakika asubuhi na jioni. hata kama corona kwa umbo lake la mafuta litayayuka. hii dawa nzuri. halafu chukua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza kuwapa visa madaktari wote wanaotaka kwenda kufanya kazi huko US, kisa corona

    waganga Wa kienyeji wanakubalika?? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    ndugu mimi nataka diesel engine ya aina ya amec hp24 .hii kwa ajili ya kuendesha pump ya kumwagilia maji shambani. naomba unijulishe kama naweza pata Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania CORONA: Mambo ya kuzingatia wakati wa kununua na matumizi ya hand sanitizers (Viua vijidudu)

    serikali ifikirie kutumia magari ya washa washa kwa kumwaga dawa kusaidia kusafisha virus vya corona . Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha bomba za plastic

    Habari wanajamvi. Naomba msaada wa namba za simu viwanda vinavyotengeneza bomba za PVC. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    ukweli ni jambo la serikali kulishughulikia. ugonjwa haina kuchagua si kiongozi au au raia Wa kawaida au mkulima au tajiri. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yashangazwa kwanini virusi vya Corona haviwadhuru Waafrika

    umetoa point nzuri sana .kwa ukweli inaweza kuwa imepita bongo.. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    ndugu naomba kuuliza kuhusu bwala la mtera .matangazo wanasema limejaa maji na imefunguliwa milango ya kupunguza . walimaji wengi wameathirika katika kilimo cha vitunguu. lakini kuna ambao hatujakata tamaa .he mapunguzo haya yataendelea mpaka lini? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumejipangaje na COVID-19 (Coronavirus)

    TANZANIA TUMEJIPANGAJE NA COVID-19 (corona virus) Tukiangalia habari nchi nyingi zenye uwezo mkubwa wa teknologia na kisayansi wanachukua hatua kubwa na kujikinga au kujitayarisha kwa mlipuko wa hiki kirusi hatari na pamoja kuzuia wageni kutoka China.. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa umma mbaroni kwa kuchana na kuchoma Quran, Waziri Jafo aagiza asimamishwe kazi

    ilikuwa haina haja kunfunga .ila kumuelimisha .hata vitabu vyote vya quraan ukivichana bado imehifadhiwa kwenye vifua bus waumini. Alhamdulillah Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jifunze kilimo cha nyanya

    naomba kama.kuna group za wakulima Wa nyanya la whatsap. naomba namba kujiunga
Back
Top Bottom