Tanzania tumejipangaje na COVID-19 (Coronavirus)

Jul 22, 2018
44
32
TANZANIA TUMEJIPANGAJE NA COVID-19 (corona virus)

Tukiangalia habari nchi nyingi zenye uwezo mkubwa wa teknologia na kisayansi wanachukua hatua kubwa na kujikinga au kujitayarisha kwa mlipuko wa hiki kirusi hatari na pamoja kuzuia wageni kutoka China..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unadhani nchi kama yetu inaweza kuchukua hatua gani. China taifa lenye uchumi imara linatetereka kwa hivyo virusi sisi bado hata vyoo hatuna tutaweza vipi kuchukua hatua.

Mambo mengine ni kudra za Mungu.
 
images (1).jpeg


Tumejipanga namna hiyo na hizo zinaitwa bima za afya
 
Back
Top Bottom