Nani kakwambia kuwa CCM inadharau wazee? Mangula na Msekwa ni vijana? Haya Mwinyi kasema, nendeni mkatekeleze badala ya kukaa kulaumu chama chetu humu.
Tunaelekea ukingoni kwa hiyo kwa wale waliofurahi tumieni hii weekend kwa hilo ila tu Jumapili mpumzike, kwa wale wenye huzuni fanyeni maombolezo ila tu muinue tanga Jumapili, kwa msio na mwelekeo jichanganyeni kotekote... Cha muhimu Jumatatu wote tutoe 100% kwenye majukumu yetu. Hii ngoma...
Tangu siku ya uchaguzi ilikwishapangwa leo ndio siku ya kumwapisha isipokuwa kama lingetokea tatizo kubwa sana. Sasa kwa sababu hapakutokea tatizo lolote la ajabu, maandalizi yakaendelea. Maandalizi hufanywa na wizara na sio ikulu.
ASIYEJUA MAANA, HAAMBIWI.......
Wageni hao hukaribishwa na waziri wa mambo ya nje anayemaliza muda wake kwa niaba ya rais. Kumbukeni hakuna wakati wowote ambapo nchi inakuwa haina rais. Kwa hiyo hata kama hiyo jana angetangazwa Slaa, wangekuja kama walivyokuja. Sio wageni wa Kikwete, ni wageni wa rais.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.