Elections 2010 Ninayatambua na kuyakubali matokeo yanayotangazwa na tume

Hitler lived 65 years ago! We talk the present. Kila nabii (au hata shetani) na wakati wake..........
 
Ni Rais wa wote na kodi utakatwa kwenye mshahara au biashara yako na kupelekwa kwake kwa ajili ya utendaji wa serikali. Usijidanganye ya Rwanda , Kenya , Burundi nk hayatatokea Tanzania. Mmeshindwa kuweni wapole , jipangeni hamkuwa na jipya safari hii ndio maana wengi wa watanzania hawakuwachagua.

It's hard to get the big picture when you have such a small screen. genius brain
 
Akitokea member mwenye itikadi tofauti na nyie na kutoa maoni yake, kwa nini mnamtukana? Ina maana itikadi yenu ndio bora zaidi kuliko itikadi za wengine? Wote hatuwezi kufanana kimtazamo au kiitidadi, tuheshimiane kwa tofauti zetu kwani hakuna aliyebora kumliko mwingine hapa duniani. Hudhurieni tena somo la demokrasia.

Hapa hakuna suala la utofauti wa itikadi kwa maana halisi ya itikadi (ideology); bali ni tofauti kati ya wanaoona na kupinga mfumo wa kifisadi unaoneemeshwa na utawala tulionao hivi sasa na wale wanaoridhika na hali iliyopo na kutoona haja ya kubadilisha kitu jambo linalotia shaka kama kweli wanajali mustakabali wa wananchi wenzao kwani hata serikali na CCM katika nyakati tofauti wameonyesha wasiwasi kwamba tuhuma za ufisadi zinawadhoofisha. Ni vigumu sana kuamini kwamba mtu anaweza kusifu Chama na utawala uliopo madarakani kama hafaidiki na ubadhirifu na ukandamizaji wa haki uliomo ndani yake. Kutumia neno itikadi bila kuelewa maana yake halisi ni kuchanganya mambo tu. Hivyo, badala ya kushangilia "ushindi" huo angalia picha kubwa zaidi na kujiuliza ni kipi hasa unachokiamini? Hii sio mechi ya mpira wa miguu!
 
Uteuzi wa CHADEMA viti maalum napo ni ufisadi mtupu, mtaanza kugombana kuanzia hapo....yetu majicho....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom