Sitta kupewa uwaziri ili amalizwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sitta kupewa uwaziri ili amalizwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Somoche, Nov 12, 2010.

 1. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Wakuu niliwambieni hapa week iliyopita kwamba SITTA HATAPITISHWA NA CC YA CCM. hizo habari sikutabiri zilikua za kweli mana ni kutoka kwa mkuu mmoja wa ndani ya chama chao.

  Leo tena nimepata habari nyingine kwamba atapewa u waziri halafu hoja itatolewa bungeni kwamba ajiuzulu mana amekosea atatimliwa na mkwere!

  LENGO: Ni Mkwere kujipendekeza kwa wakubwa wake wa kazi (Rostam na Lowassa) ili awaachie nchi mwaka 2015, na waridhike kwa dhati kabisa kwamba sasa Sitta hawezi kufurukuta tena na kisiasa ameisha.
   
 2. n

  noch New Member

  #2
  Nov 12, 2010
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  nakukubali mkuu
   
 3. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  May be ngoja tusubiri zaidi prophecy zako
   
 4. h

  hojapreneur Member

  #4
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha unajimu,aupewe na nani????huyo ndo nitolee,DOWN AND DUSTED!!!
   
 5. C

  CCM Member

  #5
  Nov 12, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hizi porojo sijui huwa mnaziokota wapi!
   
 6. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #6
  Nov 12, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,570
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Kama cc imemtupa chini sita, inamuogopa kitu gani mpaka wampe uwaziri? unasema atapewa uwaziri ili apigwe chini? hata akipewa uwaziri na asipojiuzulu, je atapitishwa na CC hiyo mwaka 2015 kugombea urais?


  habari yako inawezekana ni ya kweli ila haijakaa sawa ina maswali mengi sana ya ki-logic ambayo yanaweza kupingana.

  kama cc haimuogopo sita, why bother uwaziri, apigwe chini n.k the question is WHY? sita hata asipopewa uawaziri leo who will dare to question?


  by they way WHO IS SAMWEL SITA MNAYEMPAMBA PAMBA HUMU, HE is fisadi kama fisadi wengine ndani ya CCM if is clean enough let him aondoke ccm, kwani kuna urafiki gani kati ya nuru na giza??

  open your eyes, EL,RA, SITA, JK,.......name it...... are all fisadis.
   
 7. M

  Mutu JF-Expert Member

  #7
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni kuhusu kumchafua kupigwa chini ni kitu mbaya ni tofauti na asingekuwa waziri.

  Kuhusu usafi wa sita sina uhakika ila ktk siasa si kuhusu usafi au uchafu wa mtu Ni kuhusu kuonekana msafi

  au kuonekana Mchafu kwa sasa asilimia kubwa ya wananch wanamwona Sita mtetezi

  ,msafi (Bila kujali research na uhalisia) so lazima wana mbinu ya kumchafua ili aonekane mchafu

  maana sasa hivi kumpiga chini wamemnyima nguvu ila wamemuongezea umaarufu may be maradufu.So wazo la kumpa

  uwaziri kisha aonekane kaboronga kwa mpango ambao utakuwa well organised I guess .Unauliza asipojiuzuru si hatari

  kwake Rais anampiga chini mstaafisha na anakosa marupurupu
   
 8. M

  Mutu JF-Expert Member

  #8
  Nov 12, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ni udhaifu wa rais mambo kuvuja ,watu wake hawako naye .Sio porojo mbona mambo mengi hapa yanatokea kama yanavyo semwa
   
 9. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hizi ni porojo tu. Acheni kuandika hisia zenu hapa zisizo na mbele wala nyuma. Sitta ameshatupwa chini tayari na mafisadi wenzie. Sasa mnaendelea kumpamba kwa porojoporojo tu. Kama huna cha kuandika, tafuta kazi nyingine ufanye.
   
Loading...