Recent content by mpayuko senior

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Tairi iliisha upepo sana, nikaziba pancha ila tatizo ni kwamba inaondoka na kurudi leo siku ya nne
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Alama hii inawaka kwenye dashboard inamaanisha nini?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Nahitaji kujua wa lipo mafundi wa umeme wa magari wazuri kwa Dar es Salaam
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: Jinsi ya kupata hati ya nyumba

    Taratibu zipo 3. Kwanza ni eneo lipo kwenye mchoro wa Mipango Miji? Na hicho kiwanja kipo sahihi kwenye mchoro, Pili limepimwa na kupewa namba ya Kiwanja? Utakapokuwa na vitu hivi viwili ndio unaweza kuandaa hati. Ila kama vyote ha vipo
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mnawachukuliaje watu wa GNLD na Forever Living Products?

    Wewe kama hujui kitu ni vyema kunyamaza hakuna mshahara wa TGS D 349 270. Unapunguza mishahara ya watu ili uwavutie vijana wajiunge!!!!!!!!?????
  6. M

    JamiiForums Tanzania Malalamiko: TIGO Tanzania

    Nimeweka vocha ya elfu moja wamechukua nimeongeza na elfu nyingine wamechukua pesa yao. Sasa nashangaa nani amewaambia wanikopeshe?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Malalamiko: TIGO Tanzania

    Dah....sasa sijui tuhamie wapi.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Malalamiko: TIGO Tanzania

    Hawa tigo ni wezi sana. Nimenunua kifurushi nikaongea mpaka kimeisha ghafla inaingia meseji wamenikopesha 1300 nitalipa 1500. Na wala sikuhitaji kukopa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Malalamiko: TIGO Tanzania

    Hawa tigo ni wazi sana nimeamua kuivunja laini yao. Nimeweka vocha nikajiunga kifurushi, nimepiga simu mpaka muda umeisha ghafla inaingia meseji wamenikopesha 1300 nitalipa 1500. Sikuhitaji kukopa wala kukopeshwa. ....
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Kampuni za Simu zinavyowaibia wateja wao!

    Hao TIGO ndo usiseme yaani ni balaa juu ya balaaa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

    Kuna mahusiano gani ya MADRASA na uvaaji wa nguo za jeshi?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Gari ya Halmashauri ya Karatu ni ya zaidi ya Tsh Mil 100! huku Walimu wakijenga maabara ya mil 70

    Ni kweli haswa zile idara zinazozalisha zaid huwa wanajipangia base ti yao. Mf ma kusaini ya kodi za ardhi huwa kitengo kinapewa 30% kama mlikusanya million 300. 100 mnapewa pia uuzwaji wa viwanja na mapato mengine.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jiunge na mfuko wa afya ya jamii!

    Mimi bado sijaelewa kabisa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Kazi ya TCU ni nini?

    Yah. Ni kweli kuna ubabaishaji mkubwa.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu asipomchangua Zitto Zuberi Kabwe, ujue umeachika

    Nina mke mmoja bado nafasi tatu.ukiwaacha wakezo na was a wote kwa mpigo. Mmoja mchana mwingine saa 10 jion halafu namalizia saa 12 jion. Saa mbili usiku naenda nao wote hotelini kula honeymoon
Back
Top Bottom