yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,778
- 1,226
Miaka miaka iliyoipita niliondokewa na baba yangu kipenzi, baada ya kumaliza matanga wazee wangu wa ukoo waliniita na kunikabidhi nyumba ya marehemu baba kama mmiliki halali.
Nilipojaribu kufatilia hati ya kiwanja au offer sikufanikiwa kuvipata na nyumba yenyewe iko pembezoni ya mji kwahiyo sina hakika kama vilipimwa.
Hivi majuzi baada ya kurudi likizo alikuja mzee mmoja akaniambia kwamba hiki kiwanja alimuuzia mshua na hakummalizia hela hivyo amekuja kuchukua chake.
Sasa hali hiyo imenitisha ikizingatiwa nimekabidhiwa kienyeji (kimila) bila maandishi yoyote, pili sijui nianzie wapi mahakamani au ardhi na nikiitaji mkopo toka benki bila hizo naweza pata?
Nitashukuru kwa msaada wenu asante