Recent content by Mpare wa Mtwara

  1. Mpare wa Mtwara

    Usiposikia haya hadi kufikia saa tisa mchana wa leo (4/4/2018)

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Take him for free Mkuu
  2. Mpare wa Mtwara

    Usiposikia haya hadi kufikia saa tisa mchana wa leo (4/4/2018)

    Comment yako ni masaa manne yaliyopita yaan saa sita, me nmesena saa tisa sasa hv ni saa kumi... "vigezo na masharti kuzingatiwa"
  3. Mpare wa Mtwara

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] Na ndio itakuwa mwisho wa dunia mkuu
  4. Mpare wa Mtwara

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    "My Champions League dream isn't possible because the best has stopped it." -BUFFON
  5. Mpare wa Mtwara

    Usiposikia haya hadi kufikia saa tisa mchana wa leo (4/4/2018)

    Kwa mtu yeyote yule uliekamilika kusikia vizuri tu hadi kufikia saa tisa ya leo tarehe 4/4/2018 hujasikia majina haya "CRISTIANO RONALDO", "CR7' au "REAL MADRID".... niPM namba yako nikutumie hela. Ahsante
  6. Mpare wa Mtwara

    Roma adaiwa kutaka kuhamia CCM

    Mwanaharakati mashuhuri katika mitandao ya kijamii hasa instagram, Mange Kimambi amefunguka na kusema kuwa kuna kitu kikubwa msanii wa muziki wa hip-hop Roma anataka kukifanya lakini amekaa kimya kwa sababu anataka kuwashtukiza watu kama ilivyokuwa kwa baadhi ya wasanii wengine waliopita...
  7. Mpare wa Mtwara

    Diamond Platnumz ndani ya Times FM: Ukinifungia nyimbo haunipunguzii kitu nitafanya show hata nje

    Ukinipa bastola ina risasi mbili alafu kuna Adolf hitler, Osama bin Laden na huyu Juliana shonza, ukanambia nichague wawili wa kupiga hizo risasi. ZOTE MBILI NAMPIGA JULIANA SHONZA [emoji35] [emoji35] PUSTILAMAKEA[emoji57] [emoji57] [emoji57]
  8. Mpare wa Mtwara

    Zoezi gani zuri kutengeneza shingo bila kwenda gym

    Yaan mtu anakaa anajichunguza mwili wake anagundua "kiungo flan cpendezw nacho jinsi kilivyo na sina hela ya gym" cha kufanya unakuja humu JF unapost habar zako za shingo. Poor mind kabisa
  9. Mpare wa Mtwara

    BASATA, TCRA pamoja na Wizara ya Habari,Michezo na Utamaduni hili la kwenu

    Za muda huu wanajamvi, najua mko poa na kwa wengine wenye mushikhir na miili yao MUNGU awaponye. Kama heading inavyosema, najua kuna wahusika mko humu jamvini, BASI HUU UZI NI WA KWENU. Nianze na swala la ufungiaji wa wasanii pamoja na kazi zao. Ni sawa na halina ubishi kuwa kuna baadhi ya...
  10. Mpare wa Mtwara

    Tazama birthday za vijana wa sasa

    [emoji23] [emoji23] Hata mm aisee
Back
Top Bottom