Recent content by mpare wa milimani

  1. mpare wa milimani

    Je mwanamke wa style Hii anafaa kuoa

    Hahahaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mpare wa milimani

    Tuwe makini

    Habari zaleo ndugu zangu, kuna mtu Facebook anajiita bidhaa mtandaoni anadili na kuuza furniture,mikoba na nguo na namba za cm kaweka jamani nitapeli balaa,mi ni mmoja ya waliolizwa, lkn nashangaa anajiamini nini namba habadilishi na kaisajili kwa jina hilohilo la bidhaa mtandaoni, naomba aje...
  3. mpare wa milimani

    Wanawake msikate viuno kama ugomvi

    Hakuna namna mapenzi mbwembwe uno lazima lizungushwe
  4. mpare wa milimani

    Mabusu na kupapaswa tu analidhika

    Hahahaaaaa, hauko serious kabisa ktk shuguli unayoitarajia
  5. mpare wa milimani

    Hataki relationship anataka situationship (story ni ndefu)

    Mi naona anaogopa kuingia kwenye mahusiano rasmi hajawa tayari hajapoa maumivu but as human being mwili unadai so ameona wafaa kuwa sex partner
  6. mpare wa milimani

    Kuna familia zina laana ya asili

    Hii kitu imeigusa ukoo wangu,mila na desturi za matambiko ysliyofsnywa na mababu wa baba zetu yanatutesa sana natamani ningekua nanguvu yakuwafungua wenzangu inaumiza sana,na inaenda mpaka kizazi cha NNE tunahitaji neema ya mungu tu kupona
  7. mpare wa milimani

    Libya watu wanapigwa mnada kama ng’ombe

    Mkataa pema pabaya panamwita
  8. mpare wa milimani

    Ndugu yangu ametibiwa Hospitali ya Temeke na kukabidhiwa kadi ya CRDB. Je, hiyo kadi ina matumizi gani?

    Hata huku mwanza sekou toure nihivo unatumia na familia kufanya malipo ya matitabu wanatutoa kwenye mfumo wa cash
  9. mpare wa milimani

    Njoo ujue urembo asilia na Arabian Queen

    Nimechukua unga wa mdalasini kijiko kimoja na asali mbichi vijiko viwili nkachanganya,nanawa uso vizuri napaka mchanganyiko nakaa dk10-15 nanawa napaka mafuta yangu
  10. mpare wa milimani

    Sio mbaya nikisema hii dawa iliyoniondolea chunusi kwa siku 4, kwa wana JF wenzangu

    Mimi Nina ngozi ya mafuta,nimetumia asali na mdarasini nimepona
  11. mpare wa milimani

    Watoto wa kiume wadogo wanatupenda sana siku hizi

    Hahahaaaaa, jamani gari mbovu huvutwa na gari nzima cku zote.
Back
Top Bottom