mpare wa milimani
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 293
- 302
Nimetumia mdalasini na asali kwa wiki matokeo nimazuri sura imeisha chunusi na imekua laini japo uso ulikua unawaka moto mwanzo,saiv nimeingia kwenye asali na ukwaju
ndugu umetumiaje naomb formula jobs y kuchngany huo mchangnykoNimetumia mdalasini na asali kwa wiki matokeo nimazuri sura imeisha chunusi na imekua laini japo uso ulikua unawaka moto mwanzo,saiv nimeingia kwenye asali na ukwaju
Nimechukua unga wa mdalasini kijiko kimoja na asali mbichi vijiko viwili nkachanganya,nanawa uso vizuri napaka mchanganyiko nakaa dk10-15 nanawa napaka mafuta yangundugu umetumiaje naomb formula jobs y kuchngany huo mchangnyko