Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,173
- 190,755
Hahaha pamoja sana mkuu.
Hahaha pamoja sana mkuu.
Nyie mliokuwa umu jf wajuaji sanaSie tuliopo humu sio watanzania kumbe? Au sie matawi ya juu![]()
Njoo nayo Tanga ufanyie kazi ya kubebea abiria upate pesa kila siku.
Huyo wako ndo anaonekana mjuaji, mwanamke gani wa hivyo loh
Mimi mwenyewe nimemshangaa kwel , itakuwa uyu ameweka record ya dunia, yan unakaribishwa kwa mala yakwanza tu unaanza kuoji vitu kama mwandish wa habar yupo kwenye tukioHuyo wako ndo anaonekana mjuaji, mwanamke gani wa hivyo loh