Recent content by Mparasinge

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mlio na matarajio makubwa kwa TLS ya Tundu Lissu, waulizeni wana Ikungi

    Walimchaguaje kwa Mara ya pili kama hawamtaki?wivu wa kike huo!Maumivu ndiyo kwanza yanaanza utaumia sn naTundu
  2. M

    JamiiForums Tanzania TBC hawaishi kuchemka

    No D.cleark kwanza then Mandela
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Mvunja sheria huwa hashindi kesi,huwa anahukumiwa kila kesi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Bashite wazidi kutanuka

    Sema umechoka sisi hatuwezi kuchoka mpaka alete vyeti
  5. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Tanganyika Law Society(TLS) wapingwa mahakamani

    Kuna kitu kinanishangaza hapa,hivi kama shida ni mhe.Tundu Lissu kwanini wasiachwe wanasheria wenyewe wakaamue.si hawatamchagua tu kama hawamtaki?shida iko wapi?woga wa Nini? Kweli Tundu Lisu ni shida,yaani wizara inahaha kwasbb yake?naamini hata mahakamani hawatafanikiwa kwani wamezoea...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Kwani Walimu waliotumbuliwa kwa SBB ya kufoji vyeti walikuwa hawafundishi?weka vyeti tumalizane
  7. M

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Mrumi unafikiri chini ya kiwango mno,hii ni Jr ndg siyo vigroup vyenu hovyo vya WhatsApp ambako pumba zote ni point.Funga mdomo huna radha kwa utetezi wa hovyo kabisa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Makonda, onesha Vyeti vyako halali wanaokutuhumu waaibike

    Big brain
  9. M

    JamiiForums Tanzania Attack za CCM Mtandao vs. CHADEMA Mtandao

    Mtoa mada,,you're very correct
  10. M

    JamiiForums Tanzania Advanced Excel for Professional & Tally ERP 9

    Wanajamii forum wenzangu,,naomba msaada wa kumpata MTU anayeitwa Menard mwaisela.Kwa Mara ya mwisho tulionana mwaka 1998.Ni MTU muhimu sn kwenye maisha yangu lkn sina mawasiliano naye na hatujawahi kuonana tangu wakati huo.Tafadharini mwenye taarifa zake anisaidie
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero(CHADEMA) Mh. Lijualikali, afungwa jela miezi sita

    Hawezi kupoteza ubunge kwani sheria inasema Mbunge atapoteza ubunge wake kama atahukumiwa kifungo cha zaidi ya miezi 6
  12. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuepuka Kuibiwa Mafuta Unapojaza.....

    Jamii forum raha sana,yaani unaweza ukawa unasoma tu maandiko ya wadau ujaenjoy mno siku..
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi dawa ni kuwa mwanaume suruali tu, unabaki na hamu zako

    Wadau naomba kujua,hivi mwaka huu kutakuwa na wanafunzi wa kidato cha kwanza katika shule za serikali?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Arusha Azomewa na Wananchi Karatu

    Wilaya ya Mwanga leo tutakuwa na ugeni katika kata ya Lembeni ambapo mhe.Waziri mkuu mstaafu mhe.Edward Ngoyai Lowassa atakuwa akimnadi mgombea Udiwani katika kata hiyo Kamanda Lembrus Mchome kuanzia SAA NNE asubuhi,tafadhari mwambie na mwingine
Back
Top Bottom