kabon14
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 1,233
- 871
Hizo harakat anaweza kuzifanya akiwa chini ya mkuu wa mkoa mwenye vyeti halali , yy akabaki Kama raia huru Na kuendeleza mapambano maana Kuna watu walishaanza harakati za kupambana Na madawa kabla yake Na sio viongozi wa serikali mf.KarapinaKama kuroga ni ishu na ww kamloge Magu atengue kauli yake amg'oe Makonda....Makonda ni lulu kwa vijana wa sasa hasa mateja....lazima tumuunge mkono hasa sisi wenye uchungu na nguvu kazi.